Niko mkoa. Kumbe Bongo Muvi zingne nzuri eeh!

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,087
Reaction score
16,036
Dah! Nimekuja mkoa hapa nilifika jana.

Nmefkia lodge kwa babu ntaenda kesho. Nakula maisha kwanza

Maana nmeambiwa kijijni kumefurika huko, mi ntaingia keshoo

Hapa nampanga binamu. Kwanza huyu sio binamu. Hata sjui nna undugu nae vip ila nao wamekuja huku na asipokua makin nnaweza nikamla ujue ukilala mazingira ya lodge unahamasika sana.

Narud kwenye kichwa cha hbar. Aisee hii lodge kuna muv hapa naangalia toka asubhh inaitwa baharia. Hahahahah nacheka hapa mwenyewe tu

Ujue siangaliagi kabisa material kama hiz labda iwe bahat mbaya kama hiv sina option. Aisee kumbe ni nzuri sometime ukiondoa intelligence yako yaan unaangalia vzur tu. Hahahah

Uzi tayar( have a blast yall)
 
Kipengele cha kunukuu ni hapo ukiondoa intellegence yako. Ukiangalia na akili zako lazima uboreke. Huwezi kumaliza nusu saa.
Kabisaa...yaan ukijifanya unatia akil tuu..bongo muvi kuangalia inakua tabu sana..so inataka ujitoe ufaham kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…