Hahahahaaaaa....We jamaa nilishakwambia hujitambui na narudia tena hujitambui kabisa.
Mkoa ni wapi? Eti nimekuja mkoa yani watu mliozaliwa vijijini mkaenda mijini ukubwani mna shida sana.
Baba peter nikiwa kwa mama peter .Haha..
Huyu ni Baba Peter kama Baba Peter..!!
Nimeshangaa Leo wamepanda ma bus ya kunguni .Humu kila mtu ana gari... tena gari la zaidi ya million mia mbili kwenda juu!!
Mi Napanda boda tena mishkaki,magari ya mbagala narukia dirishani wakiniletea ujingaHakuna mtu wa JF anakubali kupanda basi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo Daslam sio mkoa?Mi nmezaliwa daslam mkuu na nmekulia daslam..sasa sjakuelewa bado
Hata sijui, hivi Aboubakar Kunenge ana cheo gani serikalini?Aliekwambia daslam ni mkoa nan.
Hahah.unajua watu wanaosoma uzi wanakushangaa,...una hasira na nan sasa.utafkir nimekuchukulia demu wako....au wew ni demu?Hata sijui, hivi Aboubakar Kunenge ana cheo gani serikalini?
Alafu improve your writings yani inaonyesha wazi kabisa wewe ni mtu wa kijijini umekuja mjini ukubwani.
Jinga kabisa wewe