GODZILLA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 5,909
- 10,542
Hahahahaaaaa....We jamaa nilishakwambia hujitambui na narudia tena hujitambui kabisa.
Mkoa ni wapi? Eti nimekuja mkoa yani watu mliozaliwa vijijini mkaenda mijini ukubwani mna shida sana.
Amekuja "mkoa" kutokea Dubei.