asante sana kwa ushauri...wazazi niko nao na wananitegemeaNenda kwa wazazi ama ndugu ukalime
Mwanza pale niliona watu wanavuta nyavu za samaki , wanagawana kazi ikikamilika, niliwahoji wakadai siku mbya sana ni 10k ,unaweza zamia kiume
una miaka mingapi?asante sana kwa ushauri....ila mimi ni mwanamke sio mwanaume
New
- Add bookmark
- #4
Oooh sawa,asante sana kwa ushauri....ila mimi ni mwanamke sio mwanaume
New
- Add bookmark
- #4
Nyangeta hayo majina hukosi kutokea Butihama.Niko Mwanza, kisesa, Igudija ......natafuta kazi yoyote ile ya halali, niwe nafanya nikiwa free maana nina kazi ingine ila mshahara haunitoshi, majukumu yananizidi na mwishowe nimekuwa na madeni ....
Natafuta kazi yoyote ile iwe ya kufua nguo, kumshikia mtu kuuza duka la dawa kwa siku ambazo atakuwa busy, kumshikia mtu shift kwenye kazi za afya maana ndicho nilichosomea.....au kazi yoyote ile ya halali......nitafanya kwa ubora na uaminifu.......ukiwa interested ni pm nitarespond haraka
Mwenzio ni Nyangeta sio Marwa umpe kazi hiyo?Njoo hapa mwaloni tuvute makokoro
28una miaka mingapi?
asante sana kwa kujaliNjoo hapa mwaloni tuvute makokoro
Mwalo upi huo nije aisee. Bwiru ama KirumbaNjoo hapa mwaloni tuvute makokoro