Niko na cold war na mpangaji mwezangu. Nifanyeje??

We mwanaume bwana,Kaza nafsi hiyo!!sisi wanawake huwa tunatabia ya kupima wanaume upepo!je unaingilika?!sasa ukiwa nyoronyoro kama wewe basi tutakutawala sanaaaa!!tutakuzoea sanaaa,tutakuonea sanaa!![emoji23][emoji23]

Dawa yake ni kumpa makavu huyo dada kama KWELI HUJAMLA[emoji15]!tena ongea nae kiume haswa huku ukimpa maneno ya kukata na shoka bila matusi..

Ingiza vitu vyako ndani ili kuonyesha msisitizo,mjini hapa baba hakuna kumuonea mtu aibu,gesi inapanda bei kila siku,halafu umwachie mtu atumie kizembezembe tu?!hata akikuona Mswahili poa tu,akitaka akuone hata Mmakonde!!formula ya kutajirika ni kusave,fungia ndani vitu vyako vyote,usiache hata mwiko...na hakuna kuhama..

Mimi hata fagio wangu hugusi[emoji23][emoji23] sembuse gesi?!una masikhara wewe

Mjini hapa,kila mtu atasimama kwa miguu yake mwenyewe
 
Nimeipemda suggestion ako. Sure kaza moyo mface,tena ongea nae huku unamtazama machoni asije jisemea mtu mwenyewe alikuwa anatazama chini hajamaanisha alichokiongea
 
Kaa mbali nae km anamiliki nukes km za N. K
 
Fanya jambo la kuhama hapo mkuu tu as long as mkataba wako unaisha mwezi ujao.. Tafuta chumba ambacho utakuwa unakicontrol wewe peke yako tu na si kushea kama ulivokuwa na huyo 'Dada Poa'
Huyo mwanamke anakuharibia sana mipango yako ya maisha..

Ila nikupongeze kwa kudhibiti hasira na jazba zako kwa kutokumpiga pamoja na visa vyote visivyovumilika alivyokufanyia.
 
Nimeipemda suggestion ako. Sure kaza moyo mface,tena ongea nae huku unamtazama machoni asije jisemea mtu mwenyewe alikuwa anatazama chini hajamaanisha alichokiongea
Kabisa mummy,usawa wenyewe wa Magufuli huu halafu limtu litoke kolomije huko lije likutie umaskini bila sababu ni jambo lisilovumilika[emoji23][emoji23]
 
Kuwa mkali kwisha kazi.

Mtegeshee kamera huyo, atakuw mpole.
Kwa maelezo yake hawezi fanikiwa kwa ushauri huu.
Huyo bidada tayari ameujua udhaifu wa mshkaji.
Hapo dawa ni kuhama tu
 
Kwakua tayari jamaa Alisha kosea kuanzia mwanzo.... Nibora ahame, na huko aendapo hili liwe fundisho kwake
 
Haahahhahha Mkuu nmekula sana malaya akati niko college had Nikahisi niko POSITIVE. NmeApa kutokuwala tena baada ya kupima mar mbili sehem mbili tofaut hv karibun na kujikuta niko salama.

Ila angekua dem wa kawaida maybe ningemla.
Daaah mkuu wacha niliyoyafanya chuo Mungu ndio anajua...
Kunakipindi nilijua nimeshaukwaa kabisa mm sitaki tena mambo hayo nimeapa sitatongoza tena msichan.
Ila sijui kama nitaweza..
 

Mbona kama vile huyo Mwanamke ana dalili zote za wale ' Watekaji ' wa akina Roma Mkatoliki na wenzake kwani kwa maelezo yako tu yaliyo ' Kuntu ' anaonekana ana roho mbaya tena ' iliyotukuka ' kabisa.
 
Kabisa mummy,usawa wenyewe wa Magufuli huu halafu limtu litoke kolomije huko lije likutie umaskini bila sababu ni jambo lisilovumilika[emoji23][emoji23]
Maana ashamuona Kama boya hivi. So mtie maneno ya kiume tu. Ukishindwa hama,na ukihama umempa ushindi wa cold war bila UN Hapo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
kula hiyo nyama Mkuu ila usiuze mechi aise tumia kinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…