Daah haya bhana kama umepata mwengine πnaanzaje kukublock sasa, huwa naziona ila nakausha π€π€
Ndio maana nakukubali kwenye pasi za mwisho tu huna baya πnishampa atakucheki donti wory ushindwe weweππ
Njoo nifuaate kwa miguu bana hujui nauli zimepanda
Kwanini?Nyege mbaya sana.
Huoni mleta mada ana sema ana furaha ila amemisi mjegeje tu.Kwanini?
Huoni mleta mada ana sema ana furaha ila amemisi mjegeje tu.
Wakubwa tumeelewa alicho maanisha,Ye kasema Kuna kitu amemis ila hajataja ni kuku? Out au Nini?
Ukaamua kumuangushia mzigo
Kwani yeye kachqgua hapo.Mi najuaga wewe ni mwananke? Lini umekuwa mwanaume?
Kumbe unajua kua mleta mada anataka Mwanaume?Mi najuaga wewe ni mwananke? Lini umekuwa mwanaume?
Mambo n bulibuli π₯
Hajui aanze na yupi π
Usivunge wakati Marry unamuelewa πΉπΉUnataka nipigwe ban
Pesa izo kuna watu wataliwaHajui aanze na yupi π
Haya tujipe raha wenyewe πAlimradi Tu mdogo wetu Maria asipate Rahaπ€π€π€π€
Hiyo inaitwa mania ni Bipolar Disorder hivyo una tatizo la afya ya akili.Shikamooni wakubwa kaka, dada zangu na wengine.
Mmh Leo Nina furaha nimeamka tangu alfajir najikuta nina mudi ya kazi ,mpaka saa moja kamili nilishamaliza kila kitu kuanzia kufua , kufanya usafi wa nyumba na kila kitu.
Na nilivyo peke yangu leo basi tu najikuta mwenye furaha hata sijui inasababishwa na nini, huenda Mungu kaamua kunipa upendeleo leo, ila mbona kama kuna kitu namisi?
Yaani furaha haikamiliki,ngoja nijipumzishe Kwanza Kwa najua shetani anaweza kuniharibia , zawadi hii ya leo.
Karibuni wanajukwaa tufurahi
Niwapenda mdogo wenuβ€οΈβ€οΈβ€οΈ