Ungesema hizo ni nguo za kike au za kiume, bei na mwisho ungeweka picha. Hapa hapa ingeweza kuwa moja ya flem yako ambayo haina kodi ya mwisho wa mwezi.
Kama unachoongea ni ukweli, napata picha kwamba ww sio mfanyabiashara, achana kabisa na biashara jaribu kitu kingine. Unawezaje kuagiza nguo China husijue soko lako wala utaziuza wapi?