comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
Leo ijumaa kuna kipindi cha dini ya kiislamu, watu wanaopiga simu wanauliza maswali :-
Kuna mama kapiga simu kauliza eti watu huko peponi watakua na Rangi gani, DINI gani na watakua wanaongea lugha gani?
Sheikh kamjibu:-
Huko peponi watu wote watakua Weupe waarabu, na wote watakua Waislamu na lugha itakayokua inatumika huko peponi NI kiarabu tuu na hakuna lugha nyingine 😎
Sheikh anaendelea kwa kusema hata huku DUNIANI binadamu wote NI Waislamu japo kila mtu anaimani yake lakini wote wakiingia peponi wanakua Waislamu
Najiuliza hapa Watu weusi mbona kama tunakua watumwa Sana WA DINI? ?