Niko nasikiliza TBC Taifa kuna kipindi cha dini ya kiislamu, watu wanaopiga simu wanauliza maswali: Majibu ya moja ya swali ni hili

Hivi hii ishu ya kupewa mabikra 72 ipo siriazi? Na ni ili nini mabikra wote hao?
Ili upige shoo mkuu😂. Mbinguni ni mwendo wa mgazamuano mwanzo mwisho, yaani mbinguni ni harufu ya nyapu tu muda wote. Imagine mabikra 72, wote wako, halafu unaambiwa wote wazuri na watamu, itakua ni balaa. Mbinguni itakua ni zaidi ya danguro.

Dini zote zina stori za kushangaza na kuhusu mbinguni ila uislamu ni kiboko😂.
 
Leo ijumaa kuna kipindi cha dini ya kiislamu, watu wanaopiga simu wanauliza maswali :-

Kuna mama kapiga simu kauliza eti watu huko peponi watakua na Rangi gani, DINI gani na watakua wanaongea lugha gani?

Sheikh kamjibu:-

Huko peponi watu wote watakua Weupe waarabu, na wote watakua Waislamu na lugha itakayokua inatumika huko peponi NI kiarabu tuu na hakuna lugha nyingine 😎

Sheikh anaendelea kwa kusema hata huku DUNIANI binadamu wote NI Waislamu japo kila mtu anaimani yake lakini wote wakiingia peponi wanakua Waislamu

Najiuliza hapa Watu weusi mbona kama tunakua watumwa Sana WA DINI? ?
Mambo ya peponi, na maisha baada ya kifo, ni bidhaa nzuri kuwauzia watu, maana hakuna anayeweza kwenda na kurudi kuthibitisha, kwamba hayo Mambo yapo,
Huku kwa wakorinto, unaambiwa, toa Sana (pesa), ndio Mungu atakubariki! Kila kitu ni ubatiri, na kujilisha upepo, mazwazwa yanameza kama yalivyoambiwa, hayswazi tena kutafuta ukwasi, yanalidhika na maisha, watoto kayumba, familia nzima, elimu kubwa Veta!hakuna mwenye degree! Hayajengi nyumba, magari, kuwaza kwenda vacation, kuamia ulaya, wakati wachungsji wao, wana miriki ma Vogue, V8, mijengo, bisshsra kubwa kubwa, watoto wao wanasoma shule, Ada ndogo 4M! Wenzsngu na mimi Ada ya 500K, kamasi tupu,
Yule "nabii na mchungaji) wa Agape, mtoto wake ni mtaalam wa IT ulaya, ana kampuni ya NALA,ukwasi wake, mara 3 ya mond!hashindi kanisani kupiga Dua, na kuimba kwa ya, kusafisha kanisani kama watoto wenu!
 
Sasa ile kauli mbiu ya TBC Taifa ukweli na uhakika inasimama wapi kwenye huo uwongo wa huyo shekhe ?
Inaitwa imani, kuwa na uhakika na usiyoyaona wala kuyajua.
 
Leo ijumaa kuna kipindi cha dini ya kiislamu, watu wanaopiga simu wanauliza maswali :-

Kuna mama kapiga simu kauliza eti watu huko peponi watakua na Rangi gani, DINI gani na watakua wanaongea lugha gani?

Sheikh kamjibu:-

Huko peponi watu wote watakua Weupe waarabu, na wote watakua Waislamu na lugha itakayokua inatumika huko peponi NI kiarabu tuu na hakuna lugha nyingine 😎

Sheikh anaendelea kwa kusema hata huku DUNIANI binadamu wote NI Waislamu japo kila mtu anaimani yake lakini wote wakiingia peponi wanakua Waislamu

Najiuliza hapa Watu weusi mbona kama tunakua watumwa Sana WA DINI? ?
Uislam ni tool ya waarabu kueneza tamaduni zao na mila zao,nothing more nohing less.
 
Hizi ndio njia mnazotumia kwenye mihadhala kukwepa msingi wa swali, mkiulizwa hiki mnakimbilia kuibua mada nyingine.

Sasa uzuri kwenye Ukristo tumetofautiana misimamo, KKKT, Pentekoste, Anglikana na wengine wengi hawaamini kwenye hiyo picha uliyopost unless una matatizo yako na Wakatoliki.

Turudi kwenye mada husika, unazungumziaje swali la huyo mama na majibu ya huyo kiongozi?
Ivi kwa akili ya kawaida inakuaje binaadamu kuitwa Mungu?
 
Leo ijumaa kuna kipindi cha dini ya kiislamu, watu wanaopiga simu wanauliza maswali :-

Kuna mama kapiga simu kauliza eti watu huko peponi watakua na Rangi gani, DINI gani na watakua wanaongea lugha gani?

Sheikh kamjibu:-

Huko peponi watu wote watakua Weupe waarabu, na wote watakua Waislamu na lugha itakayokua inatumika huko peponi NI kiarabu tuu na hakuna lugha nyingine 😎

Sheikh anaendelea kwa kusema hata huku DUNIANI binadamu wote NI Waislamu japo kila mtu anaimani yake lakini wote wakiingia peponi wanakua Waislamu

Najiuliza hapa Watu weusi mbona kama tunakua watumwa Sana WA DINI? ?
Elimu elimu elimu
 
Huko peponi watu wote watakua Weupe waarabu
Kwa maana hiyo wale mabikira 72 wa kujirusha nao watakuwa wa kiarabu?

Nijuavyo mimi mademu watamu ni wale black na sio hao waarabu sasa iweje tupewe mademu wasio watamu?

Nimeahirisha kuslimu kama mademu wenyewe ni waarabu.
 
Katika mambo mengi tuliyopigwa na waraabu, hili la kwamba mbinguni tutatumia lugha ya kiarabu tu, na lile la kuzawadiwa mabikra 72 ni mambo ambayo huwa yananichekesha sana 😅
Mzee mudi aliona warabu wanapenda sana ngono. Akawahiidi mambo hayo hayo.

Sip rahisi kumwongoa mpenda ngono bila ushawishi
 
🤣 🤣

Nikikutana na mwafrika kutoka Zanzibar anajiita Mwarabu huwa naona kama naongea tahira...

Natamani kumwambia wewe ni mtumwa
Mkuu Mzanzibar ukimwambia umefanana na Msukuma ana kasirika na kukutukana lakini ukimwambia umefanana na Mwarabu ana furahia.
 
Leo ijumaa kuna kipindi cha dini ya kiislamu, watu wanaopiga simu wanauliza maswali :-

Kuna mama kapiga simu kauliza eti watu huko peponi watakua na Rangi gani, DINI gani na watakua wanaongea lugha gani?

Sheikh kamjibu:-

Huko peponi watu wote watakua Weupe waarabu, na wote watakua Waislamu na lugha itakayokua inatumika huko peponi NI kiarabu tuu na hakuna lugha nyingine 😎

Sheikh anaendelea kwa kusema hata huku DUNIANI binadamu wote NI Waislamu japo kila mtu anaimani yake lakini wote wakiingia peponi wanakua Waislamu

Najiuliza hapa Watu weusi mbona kama tunakua watumwa Sana WA DINI? ?
Acha kuhoji majibu ya Sheikh mzee😀
 
Tuliacha dini zetu tukaona hazifai tukafata dini za watu wengine tupambane na hali zetu. China hawataki ukristo wala uislamu wanajua madhara yake, utagundua nini wewe mtu mweusi kwa kufata dini zingine?
Kweli niliwahi kufanya kazi na Wachina nikaja kujua wao hawana Sherehe za kidini ila wana sherehe zao za kicha mfano Wana mwaka wao wa Kichina. Yani wao Wachina hawajui Christmas wala Pasaka.
 
Katika mambo mengi tuliyopigwa na waraabu, hili la kwamba mbinguni tutatumia lugha ya kiarabu tu, na lile la kuzawadiwa mabikra 72 ni mambo ambayo huwa yananichekesha sana 😅
Kuhusu mito ya konyagi vipi?
 
Anaongea vitu vya aibu
Ndivyo ilivyo kiimani na Imani huwa haihojiwi kwani Mara zote huwa ni kukariri tu na sio kuelewa. Amekariri kuwa peponi watu wote watakuwa waarabu na watazungumza kiarabu. Ipo hivyo ni Imani tu mzee
 
Wenye akili watajua Tu kuna vya uongo
 
Back
Top Bottom