comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
Wanasema tutapewa miili mipyaLeo ijumaa kuna kipindi cha dini ya kiislamu, watu wanaopiga simu wanauliza maswali :-
Kuna mama kapiga simu kauliza eti watu huko peponi watakua na Rangi gani, DINI gani na watakua wanaongea lugha gani?
Sheikh kamjibu:-
Huko peponi watu wote watakua Weupe waarabu, na wote watakua Waislamu na lugha itakayokua inatumika huko peponi NI kiarabu tuu na hakuna lugha nyingine 😎
Sheikh anaendelea kwa kusema hata huku DUNIANI binadamu wote NI Waislamu japo kila mtu anaimani yake lakini wote wakiingia peponi wanakua Waislamu
Najiuliza hapa Watu weusi mbona kama tunakua watumwa Sana WA DINI? ?
Hivi hii ishu ya kupewa mabikra 72 ipo siriazi? Na ni ili nini mabikra wote hao?Katika mambo mengi tuliyopigwa na waraabu, hili la kwamba mbinguni tutatumia lugha ya kiarabu tu, na lile la kuzawadiwa mabikra 72 ni mambo ambayo huwa yananichekesha sana 😅
Leo ijumaa kuna kipindi cha dini ya kiislamu, watu wanaopiga simu wanauliza maswali :-
Kuna mama kapiga simu kauliza eti watu huko peponi watakua na Rangi gani, DINI gani na watakua wanaongea lugha gani?
Sheikh kamjibu:-
Huko peponi watu wote watakua Weupe waarabu, na wote watakua Waislamu na lugha itakayokua inatumika huko peponi NI kiarabu tuu na hakuna lugha nyingine 😎
Sheikh anaendelea kwa kusema hata huku DUNIANI binadamu wote NI Waislamu japo kila mtu anaimani yake lakini wote wakiingia peponi wanakua Waislamu
Najiuliza hapa Watu weusi mbona kama tunakua watumwa Sana WA DINI? ?
Weeeeeeeeeee bado macho kama mayai......Katika mambo mengi tuliyopigwa na waraabu, hili la kwamba mbinguni tutatumia lugha ya kiarabu tu, na lile la kuzawadiwa mabikra 72 ni mambo ambayo huwa yananichekesha sana 😅
Hivi huu ujinga watu wanauskilizaga kabisaKuhusu mabikra 72 na mito ya pombe hajagusia?
Bora hata hujaulizia mambo ya TCRA kiongozi maana ingekuwa aibu. Ukijaribu kufuatilia vipindi vingi vya dini kwenye Tv na Radio stations utagundua tuna shida kubwa kwenye kiusimamizi
Hahaha Zumbe mukulu hahaLeo ijumaa kuna kipindi cha dini ya kiislamu, watu wanaopiga simu wanauliza maswali :-
Kuna mama kapiga simu kauliza eti watu huko peponi watakua na Rangi gani, DINI gani na watakua wanaongea lugha gani?
Sheikh kamjibu:-
Huko peponi watu wote watakua Weupe waarabu, na wote watakua Waislamu na lugha itakayokua inatumika huko peponi NI kiarabu tuu na hakuna lugha nyingine 😎
Sheikh anaendelea kwa kusema hata huku DUNIANI binadamu wote NI Waislamu japo kila mtu anaimani yake lakini wote wakiingia peponi wanakua Waislamu
Najiuliza hapa Watu weusi mbona kama tunakua watumwa Sana WA DINI? ?
Hizi ndio njia mnazotumia kwenye mihadhala kukwepa msingi wa swali, mkiulizwa hiki mnakimbilia kuibua mada nyingine.
Nimekombolewa kutoka katika diniLeo ijumaa kuna kipindi cha dini ya kiislamu, watu wanaopiga simu wanauliza maswali :-