NIKO NAWAZA...,

NIKO NAWAZA...,

pakapori

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2015
Posts
536
Reaction score
626
Habari ya muda huu wakuu..,

Niko nawaza hapa mzungu asiejua kiswahili hata kidogo ikitokea yupo Tanzania na akapata shida flani ya kumfanya akatafute msaada kituo cha polisi nina imani atapata ushirikiano mzuri kwa lugha anayotumia,
ila sina hakika kwa mmbongo alieko nchi za magharibi ya mbali akitokea akapata shida itayomfanya akareport polisi. Sina hakika kama atapata ushirikiano wa kutosha kama ataongea kiswahili. Ni kwanini iko hivi...,

Bado niko nawaza...,
 
Endelea kuwaza Lakini usisahau kuwaza kuwa Mkeo Anachepukaa...![emoji3]
 
[
Bado niko nawaza...,[/QUOTE]
1536830649923.png

Endelea kuwaza mkuu
 
Back
Top Bottom