Niko njia panda: Mimi ni masikini na ninayempenda kwao ni masikini zaidi

Tatizo ni kwenu masikini au ni wew masikini? Hapo kikubwa ni wew kupambana jina umasikini lisikusogelee kwanza hata mwanamke akiwa na uwezo au kwake kukiwa na uwezo uwezekano wakukupa support wew ni mdogo sana,, pia kwenye majusiano kikubwa ni mapenzi ya kweli tu!! Hilo linatosha mengine yanakujaga as day goes...

Sasa jichanganye umwache uone kama kuna ataekukubali wew ambaye kwako ni masikini pamabna mzee baba kama umasikini ni wa baba yako wa kwako aujasemwa bado,, hivyo pambana.
 
Kama nyinyi ni maskini mpk wa vichwani hapo Kuna shida Ila kama ni masikini wa mifukoni sio ishu!

Pambaneni muyajenge yenu!
 
Umeongea ukweli mkuu
 
Nilikuwa na binti mmoja aisee nilivyokwenda kwao sikuamini, yan wapo kwenye ufukara uliotopea, mwanzo nilijipa moyo kwamba pengine wana umaskini wa kawaida kumbe wapi..
Sikuwahi panga kuoa katika familia maskini ila nikaingia kwenye umaskini uliotopea, Nshukuru now siko naye!
 
haijalishi mpo katika hali gani ya maisha ,kwamba wote ni masikini, muhimu ni nguvu zenu na akili zenu kujua jins ya kujikwamua.

Mbn ata hao matajiri kuna wngne walikuwa masikini...


Msiachane, upendo ndiyo kila kitu ktk dunia ya sasa, ila tu kumbukeni wote muwe na viwango vikubwa vya kuepuka ushawish mdg mdg utakaojitokeza ktk utafutaji wenu

Maana vishawishi ndo chanzo cha uvurugaji wa mahusiano ya watu.
 
, umasikini wa familia yake ,wewe inakuathiri kitu gani?,
 
Ulishaanza kuniathiri.. Kuanzia mienendo ya kitabia na mengine mengi!!
kama wana mienendo mibaya ya kitabia apo sawa lkn kama hawana shida shida za ovyo , kulalamika lalamika kwa sana leo natk iki kesho kile, leo umesomesha mtt wa mjomba ,kesho mtt wa Shngz....huwa kdg inakera mana maendleo hayatkauwepo ndani kwenu.

Ila kuna familia masikini wako safi kabisa, hawanaga shida za kila siki kila siku tena hawalalamiki lalamiki ovyo.
 
hali ilikuaje mkuu? Mliachana vipi?
 
Ni bora uendelee kuwa nae ili muanze wote maisha kutoka Zero to Hero kunako majaliwa ya Mungu maana hakuna aijuaye kesho yake.
 
nashukuru ndugu zangu kwa ushauri wenu, nikiongeza na zangu ntafanya maamuzi. naona sasa nijipe muda kidogo
 
Kunja ngumi ya amani mikono yako yote jipigepige kifuani huku ukisema " mimi n mwanamke shupavu" then endelea kutoa msaada na kusaidia kadri uwezavyo usikate tamaa, mambo mazuri yanakuja mbele yako.

Mungu akubariki sana na akuongezee riziki, maana ni wanawake wachache mno dizain yako kwa karne hii
 
Umeamua kukiri kwa shatan kwamba were no ........kabisa
 
Hakuna masikini aliyekua JF hapa acha upumbavu wewe, Mwanaume unajiita masikini???

ebu jipige konzi labda ubongo umestak hujui
 

Ukihitaji mume wa pili niko hapa nimewahi namba, usiniulize kwanini wala sitaki ujue usije ukavimba bichwa.... kumbe bado kuna wake wa kuoa tunaogopa bure.

One in a million.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…