Niko njia panda: Mimi ni masikini na ninayempenda kwao ni masikini zaidi

Niko njia panda: Mimi ni masikini na ninayempenda kwao ni masikini zaidi

Toka nimeanza kubalehe sikumbuki kama ishawahi kuwa kwenye mahusiano namwanamke aliyetoka familia yenye umasikini sanasana huwa naangalia uchumi wakati.

Umasikini nimbaya sana, umasikini uhasiri mpaka ubongo, umasikini sio sifa nzuriiii.

Watu wamekwambia umasikini wao wewe unakuathiri nini? Kiukweli lazima nawewe hiyo ikuhusu, mwanamke awezi kufurahia nawewe maisha mazurii hali yakuwa kwao wanalala njaa, kuna wadogo zake wamekwama kwenda shule kwasababu yaada hilo sahau itakuwa nindoa yakuwindana naukitaka uwe salama basi inakubidi huo msalaba uubebe.

Binafsi yangu sijawahi kuvutiwa kumpenda msichana aliyetoka familia ambayo haijiwezi hata kwamatumizi yao yamuhimu naMUNGU aninusuru kabisa.

Ila kama umempenda oa ndio maana mimi nimejisemea kuwa sijawahi kumpenda mwanamke wanamna hiyo. Maybe ningempenda wanamna hiyo labda ningeoa
 
ukweli nampenda huyu mwanamke na naamini nae ananipenda, natamani tuje kuishi pamoja(mke na mume), mimi natoka familia masikini(naweza sema sana) ila mwenzangu amezidi.

nimejitoa kua kwa lolote nijitahidi kwa kadri nitakavyoweza, ila kuna muda kuna kasauti kananijia kua haya majukumuni makubwa sana hovyo kama kananishawishi ni stop.

Silelewi. ingawa kwa asilimia kubwa moyo unanituma kukomaa nae as long personally tuna match.
Pole
 
Back
Top Bottom