Niko Njia Panda... Msaada Please

tatizo lako is u dnt know wat u want!! go figure that out first then the answer will be very clear.
 

Leo ni Thirsty Thursday :A S 101:
 
Tembea na John wakati huo unamchanganya na Peter nae
 
can you findout kwanza kuhusu huyo bwana john kwann aliachana na mke wake? because hawa wanaume waliokuwa wameshawahi kuoa wengine wanaficha vituko vyao.. vilevile angalia nani mwenye mapenzi ya dhati kati ya john na peter ,muhimu ni mapenzi na huduma sio fedha usije ukapata tabu baadae s unajua wanaume wakihitaji wanakuwa wanyenyekevu ,gud luck na maamuzi yako yawe ya uhakika.
 
Mapenzi na pesa v2 vwl tofauti kama huamin nenda kwa john ukaone utakavyo pendwa mwanzoni na atakavyokutesa mwishon
 
Mimi nakushauri unitafute maana mimi ni zaidi ya uyo peter na john unaowang'ang'ania
namba zangu ni T 126 ABK
 
Asprin, njemba ni 2 tu, hiyo ya tatu ni kongosho wala siifahamu

 
Jamani Asprin kumlike Roulette haina maana nimeshafanya maamuzi, nime like alivyo comment , maana haku base kwa John wala Peter

 
Da Asia fanya ndoa na John msaidiane kulea watoto wakue then sababu unampenda sana Peter mwambie awe na ukiwa unamwitaji utamtumia kwa kumlipa pesa za kutoka kwa John ila fanya siri John asisanuke na maisha yatakwenda raha mustarehe.Ama?
 
Last edited by a moderator:
Of course, I dont know what I want that's why I need your help....

tatizo lako is u dnt know wat u want!! go figure that out first then the answer will be very clear.
 

Nenda kwa Peter tafadhali achana na hilo dingi wadada peaneni taarifa msimpe ushirikiano mpaka arudiane na mkewe alah!!!
 
Kongosho, nashindwa kuamini kama katika miaka kadhaa ambayo John ananifuatulia sijam feel, kweli litam feel leo:confused3: John, najua ananipenda zaidi kuliko Peter, nahisi hii ndio inaniweka njia panda.

 
Last edited by a moderator:
Nimesoma huu uzi nikakumbuka story flani niliwahi kusimuliwa na baadae kuja kuiona kwa ndugu zangu flani. Maisha siku zote hupendeza ikiwa moyo wa wanandoa wote kwa pamoja mkipendana kwa "DHATI". pesa hulainisha ugumu wa maisha lakini haulainishi moyo wa mtu.

kuna ndg yangu wa kiume yeye kweli alikuwa ni mmoja ya wale mission town haswa, akampata binti mmoja mwenye pesa zake na kweli wakapendana kwa "DHATI" yule dada bila kusikiliza kelele za nje akaamua kuingia ndani mwa moyo wa brother yetu na kuamua kuoana. baada ya hapo waka share sweets & bitter za maisha na kweli mungu si "KIFULAMBUTE" wakatoka tena kwa kasi ambayo kila mtu hakuweza kufikiri. ndipo leo ninaona uzi wako na kufananisha na hii familia tajiri kwa sasa..


dada yangu maisha ya ndoa ni "UPENDO" na wala si USD$, mpe nafasi mtu unaempenda kweli na moyo wako uko tayari kushare mazuri na mabaya na mtafanikiwa maishani...kumbuka kuna familia tajiri nyingi sana baba ana cash ya kweli lakini kila ikifika jioni ngumi na mateke ndani ya nyumba ndio taratibu ya kila siku.
 
Unavyooneka umeshamdondokea John, sema unatafuta justication ya kutosha..Ila angalia sana usije ukawa unakula kwa John ukawa unalala kwa Peter.

Anyway, mpende akupendaye..vingine utajifunza mbele ya safari. Historia inaonyesha misheni town wengi hawafugiki na ndio wadada wengi mnawapapatikia.
 


Ndowa inafana sana panapo mapenzi ya wawili.Peter mnapendana na John anakupenda hivyo mchanganyiko na Peter ndio chaguo halisi. Wacha ubinafsi wako uwe tayari kukaa chini na Peter ili mpange maisha, hii tabia yenu wasichana kufikiri kuwa ndowa ni ajira sio mashirikiano ndio inayofanya mtawaliwe na wanaume.
John yuko tayari kuacha mke kwa mapenzi juu yako kwanini wewe usiwe tayari kumkataa kwa mapenzi yako kwa Peter?
 

Hapo nimemuelewa kwanini alikuwa anaomba ushauri.... shika ushikacho, kijacho majaariwa mama.
 

Dada Da Asia ushauri wangu unazingatia hapo pekundu. Ukiolewa na mwanaume anayekupenda kuliko wewe unavyompenda, uta-enjoy maisha mpaka basi!!!! Najua utanibishia, ila kwa uzoefu wangu, wewe unampenda zaidi Peter kuliko yeye anavyokupenda - so ukiolewa na huyu ujue itakula kwako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…