Niko njiani nkielekea msibani. usipokutana na vibopa hapa maishani ujue ndo basi tena,ngoja nikatoe gundu

Niko njiani nkielekea msibani. usipokutana na vibopa hapa maishani ujue ndo basi tena,ngoja nikatoe gundu

Upo sahihi kabisa,Hii ni fursa kama kijana ukitumia vizuri na ukiwa una jambo zuri,basi msomeshe Don mmoja mufanye mambo.
 
Mbona nimesikia siyo kila mtu anaruhusiwa kuingia?
 
Back
Top Bottom