Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna jaribu lisilo na mlango na kila jambo linatokea kwa sababu.wapenzi niko njia panda sijielewi, mimi ni mama wa nyumbani kwa0sasahivi sifanyi kazi yaani sina kipato chochote
namtegemea mume wangu kwakila kitu leo mume wangu amesimamishwa kazi
hapa nilipo nategemea kujifungua muda wowote na
madeni0 kibao tunayo majukumu ndio hayo yanakuja, jamani niambieni
nafanyaje? Nimechanganyikiwa.
0