Niko posta natafuta kazi yeyote. Naishi Magomeni

Niko posta natafuta kazi yeyote. Naishi Magomeni

Mayala B

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2019
Posts
2,109
Reaction score
5,284
Naomben mwenye kunisitil anisitili ndugu zangu. Pakuishi ninapo lakin sina kazi ndugu zangu

Naombeni mwenye kunisaidia anisaidie kazi yeyote tu

Asanten sana MUNGU AWABARIK SANA

Mara nyingi nakuwa niko ST Joseph nikipiga Ibada
 
Vijana wengi makwama kwa kukosa maarifa ama kushindwa kujieleza.
Ebu jieleze vizuri pengine ukapata msaada kwamfano:
Wewe ni nani?
Una umri gani?
Una ujuzi gani?
Unafamilia inayo kutegemea?
Kiwangu chako cha elimu?
Unatamani usaidiwe kazi gani?
Unauwezo wa kufanya kazi gani?
Je upo tayari kufanya kazi mikoani?
Nakadhalika na kadhalika.....
 
Jina naitwa Mayala
Miaka 30
Sina familia inayonitegemea
Naweza fanya kazi mikoan
Elimu kidato cha 4
 
Jina naitwa Mayala
Miaka 30
Sina familia inayonitegemea
Naweza fanya kazi mikoan
Elimu kidato cha 4

Andika hivi mkuu

Habari wakuu .

Naitwa Mayala B.

Nina umri wa miaka 30

Elimu yangu kidato cha nne (4M4)

Kwa sasa nahitaji kazi ndani ya DSM na nje ya DSM.

Aina ya kazi ninazohitaji ni Kama

Ukifika hapa anza na zile kazi ambazo tayari una uzoefu nazo .

Ukimaliza taja na kazi yoyote itakayoendana na Elimu yako .

Baada ya hapo weka namba ya simu pamoja na barua pepe yako.

Kwa mtiririko huu utasaidia watu kukuelewa ambao wanatafuta wafanyakazi.

All the best
 
Omba msaada hapo kanisani wakuchangie mtaji uanze biashara ndogo ndogo
 
Back
Top Bottom