Mayala B JF-Expert Member Joined May 13, 2019 Posts 2,109 Reaction score 5,284 Oct 13, 2024 Thread starter #21 Na njiwa said: Sasa yeye kasema anashinda kanisani .. bora akaomba kazi mazingira hayo ..nani ataajiri mtu muda wote anashinda kanisani Click to expand... Naamua kushinda kanisani sababu sina cha kufanya mkuu
Na njiwa said: Sasa yeye kasema anashinda kanisani .. bora akaomba kazi mazingira hayo ..nani ataajiri mtu muda wote anashinda kanisani Click to expand... Naamua kushinda kanisani sababu sina cha kufanya mkuu
Mayala B JF-Expert Member Joined May 13, 2019 Posts 2,109 Reaction score 5,284 Oct 13, 2024 Thread starter #22 Sea Beast said: Unaweza fanya kazi ya mshahara wa 100K Click to expand... Chakula si napata kwako mkuu Maana laki moja hata ukiwa unatumia kwa siku elf tatu kwa mwezi unajikuta huna kitu kabisa kaka yangu
Sea Beast said: Unaweza fanya kazi ya mshahara wa 100K Click to expand... Chakula si napata kwako mkuu Maana laki moja hata ukiwa unatumia kwa siku elf tatu kwa mwezi unajikuta huna kitu kabisa kaka yangu