Niko sahihi au?


Nnunu
Kula zote. Umefanya summary nzuri sana ya huyu mwanamke, yaani nilikuwa nasoma hii post na majibu yake na ulichoandika ndicho nilicho conclude mimi. Mwanamke wa namna hii ni kazi sana kuishi nae.

Angalia hata kwa kuongezea sts yake ya JF, hebu fikiria watu wanampa ushauri hata kusema thanks yaani ni mwanamke ambaye anatakiwa kugongwa na kutoswa tu.. hongera sana wewe mume uliyeweza kuishi na mwanamke wa namna hii. Eti anakasirika baba hali mezani my foot!! unaleta maisha ya isidingo kwenye familia...

Salma Juma
Join Date : 28th October 2010
Posts : 38
Thanks :0
Thanked 3 Times in 2 Posts



:disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed:
 


jinsi unavyoandika hapa na jinsi nilivyosoma hiyo post hapo juu yeny kisa inaonyesha wewe ni shosti na pia ni salma juma........ni wewe huyuo huyo..........kuna manano yanafanana......usituchezee akili dada

 


Yaani tokea nasoma post ya huyu bi-dada na majibu anayojibu nikaona kuna usanii unaendelea... Anachezea akili za ma-great thinkers...! Watu wako makini bi-dada...!
 
Pole dadayangu,
naomba nikushauri kwa maneno machache.
1. Mlipoana mliaidiana kupendana bila ukomo 'kwa shida au raha
2. Ligi kwa wanandoa huchochea tatizo,
kuamua kutolala chumbani ni ligi umeanzisha, ndio maana nae kazidi ubaya
ushauri:
anza maombi kwa MUNGUWA MBINGUNI, kumponya mumeo,
fanya vitu ulivyokuwa unafanya wakati mnaelewana, mwenyewe ataanza kubadilika kwa kuona mabadiliko yako, ninachomaanisha rudi chumbani lala kitandani msikutane kimwili mpaka HIV test ifanyike kwa wote, mjali kama mume, baada ya muda atabadilika.
Usihofu MUNGU atakusaidia katika jina la YESU KRISTO amen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…