Niko sahihi au?

Niko sahihi au?

kwa kusoma majibu ya huyu anayejiita salma juma nimegundua tabia hizi toka kwake kwa huu muda mfupi tu niliofuatilia hii thread yake.

1-mkali
2-jeuri
3-hapendi kukosolewa bali anapenda kusifiwa tu
4-anajifanya yeye mtakatifu hamkosei mumewe/si mkosaji hata kidogo
5-ni mtu wa kujikweza si wa kujishusha
6-anachoamini yeye analazimisha na wengine waamini hivyohivyo pasipo kuhoji .
7-ni mtawala
8-anapenda kupokea misaada si mtoaji wa misaada
9-mkaidi
hizo tabia za huyu dada hauwezi kuzigundua haraka ila mpaka usome thread yake na maoni ya wanajf pamoja na majibu yake kwa wanajf.

mwanamke wa aina hii kujenga nyumba yake ni ngumu sana.
huyo mwanamme kuishi na mwanamke wa aina hii miaka yote hii anastahili pongezi.
mwanamke wa aina hii hastahili kuolewa bali kuwa single parent tu.

nadhani tungepata bahati ya kusikiliza upande wa mumewe angesema zaidi ya haya niliyoyasema.

pole sana salma nawe labda ndivyo ulivyoumbwa, ila fahamu hakuna binadamu mtakatifu wote waja wa mungu tuna mapungufu yetu, ndiyo maana tuna mungu,makanisa na misikiti ili tukaombe msamaha huko na kuomba baraka,hekima,utu,na busara ktk maisha yetu. Hiyo ndoa yako haina matatizo makubwa sana ila wewe umelazimisha yawe makubwa na magumu kwa hizo tabia zako chache nilizoorodhesha hapo juu,
pole sana ila kwa mungu yote yanawezekana.


Nnunu
Kula zote. Umefanya summary nzuri sana ya huyu mwanamke, yaani nilikuwa nasoma hii post na majibu yake na ulichoandika ndicho nilicho conclude mimi. Mwanamke wa namna hii ni kazi sana kuishi nae.

Angalia hata kwa kuongezea sts yake ya JF, hebu fikiria watu wanampa ushauri hata kusema thanks yaani ni mwanamke ambaye anatakiwa kugongwa na kutoswa tu.. hongera sana wewe mume uliyeweza kuishi na mwanamke wa namna hii. Eti anakasirika baba hali mezani my foot!! unaleta maisha ya isidingo kwenye familia...

Salma Juma
Join Date : 28th October 2010
Posts : 38
Thanks :0
Thanked 3 Times in 2 Posts



:disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed:
 
sijamwazima ila siitumii kabisa na yeye si mwanachama humu na ndicho kilichopelekea kutumia id ambayo haijawahi kutumika hata siku moja,hadithi si ya kutunga tangu namfahamu mdada nimewakuta na matatizo yao na mumewe,ila nadhani ya,mezidi au ni kutapatapa ndo mdada aliniuliza swali gumu na la mtigo siwezi kuliweka hapa ndugu zangu,ila sijawahi kuolewa wala sijui ndoa ina umuhimu gani ndipo tukaliweka swali lake humu...ila hebu tujiulize inakuwaje mtu unakosa dk 10 tu kwa wiki za kuongea na mwanao kuhusu maisha nafikiri kama tungekuwa waungwana kidogo tungemwelewa mdada vizuri tu maana kuna mengi yaliyojificha nyuma ya hili jambo nami siwezi kuyabwaga hapa hayanihusu.


jinsi unavyoandika hapa na jinsi nilivyosoma hiyo post hapo juu yeny kisa inaonyesha wewe ni shosti na pia ni salma juma........ni wewe huyuo huyo..........kuna manano yanafanana......usituchezee akili dada

 
Hii michezo ina mwisho wake


Aisee Hivi wewe Salma ndio Shosti?

Yaelekea mnajua sana, hata idadi ya watoto na mahusiano yenu ya ndani mnajuana?

Huyo Shosti alisababishaje wewe kuuliza swali..
Dah..JF ina mambo.

Ushauri wangu nina-ureserve kwanza mpaka uje na ufafanuzi wa hayo hapo juu


Yaani tokea nasoma post ya huyu bi-dada na majibu anayojibu nikaona kuna usanii unaendelea... Anachezea akili za ma-great thinkers...! Watu wako makini bi-dada...!
 
Pole dadayangu,
naomba nikushauri kwa maneno machache.
1. Mlipoana mliaidiana kupendana bila ukomo 'kwa shida au raha
2. Ligi kwa wanandoa huchochea tatizo,
kuamua kutolala chumbani ni ligi umeanzisha, ndio maana nae kazidi ubaya
ushauri:
anza maombi kwa MUNGUWA MBINGUNI, kumponya mumeo,
fanya vitu ulivyokuwa unafanya wakati mnaelewana, mwenyewe ataanza kubadilika kwa kuona mabadiliko yako, ninachomaanisha rudi chumbani lala kitandani msikutane kimwili mpaka HIV test ifanyike kwa wote, mjali kama mume, baada ya muda atabadilika.
Usihofu MUNGU atakusaidia katika jina la YESU KRISTO amen.
 
Back
Top Bottom