Niko sawa

Dr leader

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Posts
893
Reaction score
1,021
Niko sawa !

Ni kauli pekee Mwanaume anaitoa huku akitabasamu.

Machozi yake yakitilirika katika kifua chake...

Si kwamba hawezi kulia kwa sauti kubwa na kwikwi..

Yeye ndie amebeba tumaini la familia..

Akilia familia itakuwa katika hali gani ??...

Popote panahitaji msaada kwa mwanaume mwenzako mpe bila kusita..
 
Lieni tu
Lia kwa ajili yako
Kulia ni afya kama ilivyo kupiga puli

Ama hamjui hata faida za kulia?
Kupiga puli hakuna faida

Kulia kuna faida hatukatai ila ukipiga yowe hadharani utakuwa una walakini

Familia inamtegemea baba aliyeenda vitani. baba anarudi analia

kulia hovyo hovyo ni upungufu wa testosterone
 
Basi na Makonda ana upungufu huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…