Dr leader
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 893
- 1,021
Niko sawa !
Ni kauli pekee Mwanaume anaitoa huku akitabasamu.
Machozi yake yakitilirika katika kifua chake...
Si kwamba hawezi kulia kwa sauti kubwa na kwikwi..
Yeye ndie amebeba tumaini la familia..
Akilia familia itakuwa katika hali gani ??...
Popote panahitaji msaada kwa mwanaume mwenzako mpe bila kusita..