Niko serious natafuta mchumba

Niko serious natafuta mchumba

Hamna cjawai kukucheki kweli umenifananisha
Ni ww huyo huyo ety ukasema Mim nakupenda kweli, ukatuma emojis za kulia Mim nikaweka ngum👺👺👺👺👺
 
Mkuu kwanini unaweka vigezo kama urefu na unene ila wewe hautaki kuwekewa kigezo cha umri?

Au hauoni unajichanganya Mkuu?

bigmen
 
Kama we unavyokataa wanene na kuna watu hawapend under age
 
Habari JF,

Mara nyingi humu ndani mtu akiandika kitu anaonekana hayuko serious, Juzi nimeweka Uzi apa nimesema kuwa nahitaji mchumba lkn watu wakatania tania tuu sikupata hata mumoja,

Kuna mumoja nikajaribu kumfata Pm nikamwomba tuwe marafiki tuu lkn hatujafika popote anadai kuwa yeye ni mshangazi kwangu kisa yeye ana miaka 35 mm Nina miaka 29, au pengine ameona Kama mm ni mtoto Sina ishu. Lkn niwakumbushe mnao dharau watu wa umri mdogo Kama mm kuwa umri so akili nina akili kubwa tuu ya kimaisha.

Turudi pale pale kwenye point yetu ya juzi, natafuta mchumba wa kujenga nae maisha au kufanya maisha nae Niko serious,

Umri nimeongeza 25adi 35
Awe mrefu kiasi,
Asiwe mnene
Awe mweupe au mweusi maji yakunde sawa tuu
Nenda kanisani au sokoni.....
 
Back
Top Bottom