Niko serious natafuta mke wa kuoa aliye tayari ani DM

leanonme

New Member
Joined
Jul 11, 2026
Posts
1
Reaction score
1
Habari wakuu

Natafuta mke wa kuoa
Sifa zangu
Elimu: Bacherlor degree of computer science
Location: Dar es Salaam
Umri : miaka 33
Kazi: Developer
Dini: catholic
Sifa za mwanamke ninayemtaka
1.Elimu kuanzia diploma
2 Location dar lazima awe Dar kama atakua mkoani awe tayari kuishi dar
3.Asiwe na Mtoto
4.Dini yoyote ila Lutheran na catholic ingekua poa zaidi

KARIBUNI
 
Naomba uniweke kwenye kamati ya maandalizi please
 

kama hujapata, nitafute DM nikupe mchongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…