Njoo mennn hata mie kidume Jana my Wife arisafili meen.... Njoo tupeane company.... Tukale nyamaaa na ndofyuuu meen
hivi RTD hailiwazi siku hizi?

Mpatie pumziko mtoto wa watu ana maumivu ya mapenzi jmn atakuwa mgeni wa nani?hebu msikilize basi angalu hata nafsi yake iburudike,sema neno lolote roho yake isuuzike,ni kama njiwa yatima aliyefiwa na wazazi wake anavyojikunyata ndio hata huyu kijana Chilli hali yake ilivyo,jmn hata apointment tu mpatie ntamleta umsikilize kijana wa watu,hana nguvu,pumzi hana yote kwa ajili ya mapenzi ilhali unaweza ukamsaidia msikilize jamani Kongosho
Baada ya kunyang'anywa kipenzi changu cha moyo Madame B na mkongoman Chimbuvu na baada ya mipango ya kujaribu ku win back penzi maridhawa la Madame B kushindikana, natangaza rasmi kwamba hivi sasa niko singo kama mtoto wa kifaru.
Hivyo basi, natangaza kwamba nafasi ipo wazi kwa yeyote yule ambaye atakua interested. Mimi ni kijana sio mzee kama Asprin, uwezo wa kati. Karibuni wote mtakaojisikia, sijali uzuri wala tabia as long as zinarekebishika.
Copy to: Baba V na kamati zake zote, Chimbuvu na familia yake, Loya rutta na maloya wote, cacico, Arushaone Bishanga sweetlady na wanakamati wote wa Mahusiano.
ngoja nicheck na shost angu Elizabeth Dominic make yupo singo!!!

Unataka kumwambukiza mwenzio tabia za kudandia wake za watu eeh!!