Niko tayari kufundisha Kung Fu, Judo, Karate, Taekwondo & Kick boxing muda ukiruhusu

Niko tayari kufundisha Kung Fu, Judo, Karate, Taekwondo & Kick boxing muda ukiruhusu

wapendwa jf wa michezo ya kuchapana, toa shaka, kuanzia end of january 2011
muda ukiruhusu kuanzia saa 11 jioni hapa dar, tunaweza ku organize na nikajitolea bure
to train you free, kung fu + kung fu meditation, karate, judo, kick boxing na taekwondo hii ni muhimu
sana, najua kazi na masomo msc eng vinanibana but at least in a week tunaweza kupata 3 days for three hours sawa na masaa 9 kwa week, hii michezo itakupa nguvu mno, mno,
unaweza kumpiga mtu yeyote narudia yeyote kwa dakika 2 hadi 4 au 5 au unaweza kupigana na watu zaidi ya watatu at once wenye mazoezi na kuwagaragaza quickly, au kujihami nk
michezo hii inakujenga kisaikolojia na si lazima uwe flexible & tall labda kama mm ukiniona, la mtu wa umbo lolote anafit sana, meditation will transform you in another world of fighting, baada ya 3 months ukifanikiwa kuendelea na mazoezi, mtu hawezi kusimama mbele yako kwa mikono, dak 2-4 umeshamaliza mchezo saa nyingi, super fighters hawapigani muda mrefu hata siku moja labda akutane na super fighter mwingine like bruce lee, ukimkosa atakimbia kama mbwa mwizi, hii ni muhimu si tu kwa kujihami pia kwa afya bora mazoezi muhimu. See you wapendwa
mimi niko tayari kabisa maana nimechoshwa kuibiwa pochi na kukabwa na vibaka huku kwetu magomeni.nikifuzu watanikomaje?ntakuwa natoa kipondo balaaa
 
ivi mlishaanza hii mazezi?
ila watu tusioishi dar tunakosa vingi

mjege na upcountry
 
hello kaka.
mda mrefu nilitaka kuaanza hii mazoezi. umeaanza? please, naomba unitumie reply so that i know. niko dar, na NIKO TAYARI KUAANZA
 
hello kaka.
mda mrefu nilitaka kuaanza hii mazoezi. umeaanza? please, naomba unitumie reply so that i know. niko dar, na NIKO TAYARI KUAANZA.
 
Aiseee mtoa post umepotelea wapi? Mi nilitaka nijiiunge ili nisije umbuka likitikea fumanizi
 
Back
Top Bottom