Habari Wana JF,
Kwa Jina Naitwa Steven Naishi Ilala Dar es salaaam namiaka 24 Pia ni Kijana mchapa Kazi mwaminifu kwa kila majukumu nayofanya, Katika swala langu la kielimu nimehitimu level zote ikiwemo O level, Advanced level na kwa sasa ni kijana naehitimu elimu yang yangu chuoni nikiwa nachukuwa Degree ya masuala ya Bima na udhibiti majanga/ Bachelor in insurance and risk management.
Naweza kufanya kazi yoyote ndani ya elim yang na pia nje ya elim niliyonayo. Nimefanya field sehem mbalimbali ikiwemo kampuni ya Kadio insurance Broker iliyopo Goba Dar es Salaam, na pia katika kitengo cha Containers iliyopo Bandarini Dar es salaam ( TICTS) TANZANIA INTERNATIONAL CONTAINER TERMINAL SERVICES) nauwezo wa kujifunza mamb mbali mbali na ubunifu pia napenda Jambo nalofanya na kujifunza zaidi.
Nipo tayali kwa maelekezo kwa mujib wa taharifa iliyojieleza
Asanteni Kwa Mawasiliano namba zangu ni 0629868082