Niko uchi kwenye masuala ya laptop

Niko uchi kwenye masuala ya laptop

Tafuta machine za Ryzen, cpu kama Ryzen 5 5000 series yenye ssd itakufaa sana matumizi yako.

Mfano hii

Ryzen ambazo ni zen 3 ama 4 (5xxx, 6xxx, 7x4x, 7x3x) zina perfomance nzuri na zinakaa na chaji na sababu hazili umeme mwingi laptop zake nyingi ni nyembamba.

Pia Intel 11th gen si mbaya kwa matumizi yako.
Shukrani, nimeipenda
IMG_20230803_180028.jpg
 
Mkuu vipi kama nahitaji laptop ya Windows 10 au 11, slim na portable, inayotunza chaji, yenye screen nzuri itakayonifaa kwa matumizi kama web browsing, typing documents, na movie watching (kuangalia movie ndio kipaumbele namba moja) kwa bei ya milioni 1?

Assume performance ni kipaumbele cha mwisho kabisa kwa sababu mimi sio gamer wala sio graphics engineer
Not worth it unless unaangalia uzuri wa nje kuliko ufanisi wa Ndani.

Laptop za kawaida gen ya 8 zinarange laki 5 mpaka 8, tena unapata nyengine ultrabook za maana tu kama unapenda laptop nyembamba.

Ukiangalia hio review ni laptop ya 2019 wakati huo ilikua nzuri ila sio sasa kwa hio bei.

I3 gen ya 12 ni bora zaidi unapata mpya kwa bei chini ya hapo.
sory mkuu unaeza nsaidia chimbo la pc hzo gen8 ambazo ztarange laki kwenye hyo laki 5 -?
 
sory mkuu unaeza nsaidia chimbo la pc hzo gen8 ambazo ztarange laki kwenye hyo laki 5 -?
Kuna mdau hapa alikua anauza 600k


Pia Discountkubwa kkoo unapata kwa around laki 6.
 
Nimekuwa nikitafuta gamig laptop kwa muda mrefu sana lkn sijapata, naombeni wadau kwa anaejua anaeuza aniunganishe nae,chondechonde
 
Back
Top Bottom