Reuben Challe
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 2,940
- 5,511
Shukrani, nimeipendaTafuta machine za Ryzen, cpu kama Ryzen 5 5000 series yenye ssd itakufaa sana matumizi yako.
Mfano hii
Laptop HP Pavilion 13 8GB AMD Ryzen 5 SSD 256GB
HP Pavillion Aero laptop 13-beoxx with graphics card AMD Ryzen 5 5600 Tunatoa na warranty Tunapatikana Kariakoo mtaa wa masasi na Msimbazijiji.co.tz
Ryzen ambazo ni zen 3 ama 4 (5xxx, 6xxx, 7x4x, 7x3x) zina perfomance nzuri na zinakaa na chaji na sababu hazili umeme mwingi laptop zake nyingi ni nyembamba.
Pia Intel 11th gen si mbaya kwa matumizi yako.
Hizo pia bei za Online, Hapo unamshusha 800-900Shukrani, nimeipendaView attachment 2707323
Mkuu vipi kama nahitaji laptop ya Windows 10 au 11, slim na portable, inayotunza chaji, yenye screen nzuri itakayonifaa kwa matumizi kama web browsing, typing documents, na movie watching (kuangalia movie ndio kipaumbele namba moja) kwa bei ya milioni 1?
Assume performance ni kipaumbele cha mwisho kabisa kwa sababu mimi sio gamer wala sio graphics engineer
sory mkuu unaeza nsaidia chimbo la pc hzo gen8 ambazo ztarange laki kwenye hyo laki 5 -?Not worth it unless unaangalia uzuri wa nje kuliko ufanisi wa Ndani.
Laptop za kawaida gen ya 8 zinarange laki 5 mpaka 8, tena unapata nyengine ultrabook za maana tu kama unapenda laptop nyembamba.
Ukiangalia hio review ni laptop ya 2019 wakati huo ilikua nzuri ila sio sasa kwa hio bei.
I3 gen ya 12 ni bora zaidi unapata mpya kwa bei chini ya hapo.
Kuna mdau hapa alikua anauza 600ksory mkuu unaeza nsaidia chimbo la pc hzo gen8 ambazo ztarange laki kwenye hyo laki 5 -?