Niko ukweni kwa mapumziko ya Xmas, ninachokishuhudia hakielezeki

Niko ukweni kwa mapumziko ya Xmas, ninachokishuhudia hakielezeki

Ni hatari. Jamii imezoe kuona hizi ni simulizi ila haya mambo yapo watu wanakutana nayo.
Ni jaribu kubwa mtu analopaswa kimjua sana atoke alioingia na ubaya huwa hawakwambia nini wanakuinganisha nacho ila unakijua ukiwa tayar huwez kurudi nyuma.
 
Halafu inawezekana kuwa kweli yalitendeka maana kwenu huko na mauchawi yenu hamjambo... CC Mshana Jr
 
Back
Top Bottom