Mkuu naomba nikukosoe kidogo. Tesla na Einstein walikuwepo wakati mmojaNikola Tesla anashindanishwa na Thomas Edison na wakina Marconi...
Huyu Einstein amekuwepo wakati wakina Tesla wameshamuwekea vianzia vingi tu.
Wakati Tesla ni babu huyu Einstein alikuwa kijana mdogo tu...
Naunga mkonyo hojaHakuna kama Tesla,usisahau pia alikuwa na knowledge isiyo ya kibinadamu baada ya kuona kwamba alikuwa close kufanikisha wireless eletricity kina Jp Morgan wakaamua kumpoteza ila inasemekana alikuwa na uwezo wa ki alliens beyond ubinadamu kabisa
Mkuu jiulze kwanini Tesla hakupewa noble prize besides na kugundua many practible things in the history of human kind.Ila kwa kweli nimesoma hapa kuhusu huyu jamaa halafu nikachoka. Remote control ameanza kutumia 1898. anaendesha Boat kwa remote control mwaka 1898 watu wakawa wanasema kuna kitu ameficha kwenye boat ndiyo kinachoiendesha. Mimi hapa kwetu mimeishangaa kwa mara ya kwanza mwaka 1986.
Nikola Tesla - Wikipedia
Tesla ni mkubwa ki umriMkuu naomba nikukosoe kidogo. Tesla na Einstein walikuwepo wakati mmoja
Tesla July 10, 1856----January 7, 1943
Einstein March 14, 1879----April 18, 1955
Pili hebu niambie theory hata moja ya Tesla ambayo Einstein ametumia kama foundation yake.
elewa content,waliishi wakati mmoja.Suala la nani mkubwa hata mtoto wa darasa la pili anaweza kutaja hasw baada ya mimi kukuwekea umri wa wote hapo juu. Kama wewe ulivyo hai leo na mimi pia nipo lakini tuna umri tofauti.Tesla ni mkubwa ki umri
Ukubwa wa Tesla kiumri that meas aligundua vitu nyuma kabla Einstein hajanza ....so you may think your self who studied on the shoulders of another?elewa content,waliishi wakati mmoja.Suala la nani mkubwa hata mtoto wa darasa la pili anaweza kutaja hasw baada ya mimi kukuwekea umri wa wote hapo juu. Kama wewe ulivyo hai leo na mimi pia nipo lakini tuna umri tofauti.
Niambie tu theory gani ya Tesla amabyo Einstein aliitumia kama foundation yake ?Ukubwa wa Tesla kiumri that meas aligundua vitu nyuma kabla Einstein hajanza ....so you may think your self who studied on the shoulders of another?
Yaani ni sawa na ukute nimegundua Kinyonga wewe utengenezee maelezo kuwa kinyonga huwa anabadili rangi ukimpiga
Huu mjadala ni mzuri sana. Kumbe tulilishwa matango pori kwenye kale kafizikia ketu ka kidato cha pili!hivi unaamini kuna kitu kinasafiri kwa kasi zaidi ya mwanga
Tesla alikuwa anatengeneza incandescence lump ambayo hutumia gaseous Tesla alicheza na maneon tubes tangu enzi....coincedence na Jinsi Laser inavo oparate as a stimulated of particles of heated gaseous matter like Neon ambayo inadaiwa Einstein aliipredict kwenye Photoelecteic emission yake.Niambie tu theory gani ya Tesla amabyo Einstein aliitumia kama foundation yake ?
ngoja niendelee kuangalia watu wanavyoshusha nondo mkuuHuu mjadala ni mzuri sana. Kumbe tulilishwa matango pori kwenye kale kafizikia ketu ka kidato cha pili!
Wewe unaongelea watu tofauti. Tesla ni Inventor kama nilivyokupa somo hapo juu na sidhani kama una physics theory hata moja ya Tesla,Einstein alikuwa physicists. Vitu tofauti sana hapo.Tesla alikuwa anatengeneza incandescence lump ambayo hutumia gaseous Tesla alicheza na maneon tubes tangu enzi....coincedence na Jinsi Laser inavo oparate as a stimulated of particles of heated gaseous matter like Neon ambayo inadaiwa Einstein aliipredict kwenye Photoelecteic emission yake.
Yeah alikataa ni matter ya view yake .
Kwa kuwa alikuwa haielewi. Na hakuwa peke yake kati ya watu wasioielewa.Jambazi, phill, smigo4u mitale na midimu hapa hatuangalii nani mkali kati ya Nikola Tesla au Albert Einstein ila tunaangalia kwanini Tesla alikataa theory ya Einstein
Hahaha mkuu Einstein is a Genius among of Geniuses but the world know whose beyond Einstein know it or explore the secrets behind it.Kwa kuwa alikuwa haielewi. Na hakuwa peke yake kati ya watu wasioielewa.
watu wanakimbilia kusema Tesla mkali wakati mada inahusu kitu kingine yani watu wanjibu tofauti na madaKwa kuwa alikuwa haielewi. Na hakuwa peke yake kati ya watu wasioielewa.