goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,149
Nikola Tesla v/s albert Einstein
[emoji12] [emoji12] albert Einstein the best.
[emoji12] [emoji12] albert Einstein the best.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watu wagumu sana kuelewa hadi inashangazaWabongo wagumu kuelewa
Huu mjadala ungelifanyika hata bila kutaja hayo majina ya Einstein na Tesla
The key point sio nani ni zaidi?
Hoja ya msingi ni uhalali wa kauli inayosema "Hakuna maada inayoweza kusafiri kwa kasi sawasawa au kuliko mwanga
Mpka sasa stuff yenye speed kubwa practically ni mwamga but yet theories predicts the existance in our universe that kuna stuff kama tachyons zina speed mara 1000 ya ile ya mwanga. Because theory ya mwanga ilianza kama ilivyo anza hii ya Tachyons....siku ikigundulika practically basi mtegemee vitu hiviWabongo wagumu kuelewa
Huu mjadala ungelifanyika hata bila kutaja hayo majina ya Einstein na Tesla
The key point sio nani ni zaidi?
Hoja ya msingi ni uhalali wa kauli inayosema "Hakuna maada inayoweza kusafiri kwa kasi sawasawa au kuliko mwanga
Mkuu in school most high grade achievers they just MEMORIZING what they studied earlier but not THINKING...and thus why the real life proves wrong to most of them...Kumbe vi B vyetu vya phiz o' level ni uchwara tu ....respect to them .
True mkuuMkuu in school most high grade achievers they just MEMORIZING what they studied earlier but not THINKING...and thus why the real life proves wrong to most of them...
watu walikuwa wanavunja madude acha kabisa hapo bado ujaingia kwenye mathematics kulikua kuna mgogoro mkubwa sana katika hesabu kuwa nani alikuwa inventor wa calculus kati ya Newton na LeibnizKumbe vi B vyetu vya phiz o' level ni uchwara tu ....respect to them .
Mmh Great thinker vipi ulisimuliwa au?Nyie msicheze na Einstein kabisa theory zake zilifanikisha utengenezaji was satellites
Hakuna theory inayokufa katika sayansi,theories huwa zinaboreshwaMpka sasa stuff yenye speed kubwa practically ni mwamga but yet theories predicts the existance in our universe that kuna stuff kama tachyons zina speed mara 1000 ya ile ya mwanga. Because theory ya mwanga ilianza kama ilivyo anza hii ya Tachyons....siku ikigundulika practically basi mtegemee vitu hivi
1. Either einstein theory kufa , ama
2. US na wa zionist ku hide ukweli ili kulinda heshima ya ndugu yao einstein...kama alivyo fanywa Tesla na FBI.
Yawezekana pia NASA walisha kutana na universal stuff zenye kas kuliko mwanga but wanadenie maana watu wanawez kwenda Aether ya Tesla.
From the beginning light has no mass refer. Photons whjch forms light...kama mwanga ukiwa na mass bas factor za wakina particle momentum zinge account.Hakuna theory inayokufa katika sayansi,theories huwa zinaboreshwa
Hoja sio kitu kwenda kwa kasi kuliko mwanga
Hoja ni ordinary mass kwenda haraka kuliko mwanga
Je hizo tachyons zina mass?
MakinikiaTatizo lugha.. Mods mtufanyiie mpango kuwe na kakitufe kakubadili lugha
From the beginning light has no mass refer. Photons whjch forms light...kama mwanga ukiwa na mass bas factor za wakina particle momentum zinge account.
Light ina vitu vinaitwa relativistic momentum though some time they assume mass of photon ni sawa na ile ya electron by wave-particle duality although einstein aliipinga sana Quantum Mechanics jinsi inavyo mtreat electron.
Tachyons hazina mass as that of light..
Mkuu hiyo kitu ya nothing can travel faster than light nafikiri nilishaitupia hapo juu. Mpaka sasa hivi,hakuna experiment yoyote ambayo imeweza ku prove kuwa anything can go faster than speed of light. The last experiment was done by CERN in large hedron collider to detect speed of neutrino in 2011 I think. Results was the same as predictaed by Einstein,kama ni mtu wa physics unaweza kuingia arXiv.org e-Print archive angalia,lakini usipeleke physics yako ya form six tafadhali,kuna nondo za kushiba huko.Wabongo wagumu kuelewa
Huu mjadala ungelifanyika hata bila kutaja hayo majina ya Einstein na Tesla
The key point sio nani ni zaidi?
Hoja ya msingi ni uhalali wa kauli inayosema "Hakuna maada inayoweza kusafiri kwa kasi sawasawa au kuliko mwanga
Mkuu hiyo kitu ya nothing can travel faster than light nafikiri nilishaitupia hapo juu. Mpaka sasa hivi,hakuna experiment yoyote ambayo imeweza ku prove kuwa anything can go faster than speed of light. The last experiment was done by CERN in large hedron collider to detect speed of neutrino in 2011 I think. Results was the same as predictaed by Einstein,kama ni mtu wa physics unaweza kuingia arXiv.org e-Print archive angalia,lakini usipeleke physics yako ya form six tafadhali,kuna nondo za kushiba huko.
Sasa kwa kuwa science is evidence based,siwezi kuamini au kumuelewa mtu anayeniambia kitu bila kuwa na facts. Kama unasema kuna kitu kin travel faster than speed of light basi weka experimental link ili tuone results.
Mkubwa wangu nipo na wewe kabisa hapo.Tupo kambi moja mkuu!
Ila nilikuwa natoa angalizo kuhusu kiini cha mada kwa wadau
Maana wabongo kama kawaida yao walishaanza kutengeneza team
Team tesla,team Einstein
Vianzia vipi Tesla alimuekea Einstein nipe shule apoNikola Tesla anashindanishwa na Thomas Edison na wakina Marconi...
Huyu Einstein amekuwepo wakati wakina Tesla wameshamuwekea vianzia vingi tu.
Wakati Tesla ni babu huyu Einstein alikuwa kijana mdogo tu...
Tafuta thread yake IPO humuNikola aligundua vitu gani..?