Nikola Tesla vs Albert Einstein: The Ether & the Birth of the New Physics

Nikola Tesla v/s albert Einstein
d1896ef7e23034c78103cc0316fa2c88.jpg

a23fdc4fc6b9c1cab06941df78f4024b.jpg

[emoji12] [emoji12] albert Einstein the best.
 
Huu uzi inaonekana watu wametoka nje ya mada. Anyway western media hasa US wamembeba sana Eistein kwa kuwa ni myahudi na pia ameisaidia us kukamilisha manhattan project. Capitalist hawakupenda sana mitazamo ya TESLA
 
Wabongo wagumu kuelewa
Huu mjadala ungelifanyika hata bila kutaja hayo majina ya Einstein na Tesla

The key point sio nani ni zaidi?

Hoja ya msingi ni uhalali wa kauli inayosema "Hakuna maada inayoweza kusafiri kwa kasi sawasawa au kuliko mwanga
 
watu wagumu sana kuelewa hadi inashangaza
 
Wabongo wagumu kuelewa
Huu mjadala ungelifanyika hata bila kutaja hayo majina ya Einstein na Tesla

The key point sio nani ni zaidi?

Hoja ya msingi ni uhalali wa kauli inayosema "Hakuna maada inayoweza kusafiri kwa kasi sawasawa au kuliko mwanga
Mpka sasa stuff yenye speed kubwa practically ni mwamga but yet theories predicts the existance in our universe that kuna stuff kama tachyons zina speed mara 1000 ya ile ya mwanga. Because theory ya mwanga ilianza kama ilivyo anza hii ya Tachyons....siku ikigundulika practically basi mtegemee vitu hivi
1. Either einstein theory kufa , ama
2. US na wa zionist ku hide ukweli ili kulinda heshima ya ndugu yao einstein...kama alivyo fanywa Tesla na FBI.

Yawezekana pia NASA walisha kutana na universal stuff zenye kas kuliko mwanga but wanadenie maana watu wanawez kwenda Aether ya Tesla.
 
Kumbe vi B vyetu vya phiz o' level ni uchwara tu ....respect to them .
 
Nyie msicheze na Einstein kabisa theory zake zilifanikisha utengenezaji was satellites
 
Kumbe vi B vyetu vya phiz o' level ni uchwara tu ....respect to them .
watu walikuwa wanavunja madude acha kabisa hapo bado ujaingia kwenye mathematics kulikua kuna mgogoro mkubwa sana katika hesabu kuwa nani alikuwa inventor wa calculus kati ya Newton na Leibniz
 
Mpka sasa stuff yenye speed kubwa practically ni mwamga but yet theories predicts the existance in our universe that kuna stuff kama tachyons zina speed mara 1000 ya ile ya mwanga. Because theory ya mwanga ilianza kama ilivyo anza hii ya Tachyons....siku ikigundulika practically basi mtegemee vitu hivi
1. Either einstein theory kufa , ama
2. US na wa zionist ku hide ukweli ili kulinda heshima ya ndugu yao einstein...kama alivyo fanywa Tesla na FBI.

Yawezekana pia NASA walisha kutana na universal stuff zenye kas kuliko mwanga but wanadenie maana watu wanawez kwenda Aether ya Tesla.
Hakuna theory inayokufa katika sayansi,theories huwa zinaboreshwa

Hoja sio kitu kwenda kwa kasi kuliko mwanga

Hoja ni ordinary mass kwenda haraka kuliko mwanga

Je hizo tachyons zina mass?
 
From the beginning light has no mass refer. Photons whjch forms light...kama mwanga ukiwa na mass bas factor za wakina particle momentum zinge account.
Light ina vitu vinaitwa relativistic momentum though some time they assume mass of photon ni sawa na ile ya electron by wave-particle duality although einstein aliipinga sana Quantum Mechanics jinsi inavyo mtreat electron.

Tachyons hazina mass as that of light..
 
Ni kweli photons zina relativistic mass lakini hazina rest mass

Hii haina tatizo

Je tachyons zina restmass?Kama hazina Relativity inaziruhusu kusafiri kwa kasi sawa na ya mwanga bila kuzidi

In a nutshell,Every massless stuff is information
And by rules of relativity they ought to move at ostensibly maximum possible speed that is speed of light

Je kuna Experiment iliyothibitisha kuwa tachyons zipo?

Na zina zidi kasi ya mwanga?

Au ni Hypothetical abstract concept?
 
Wabongo wagumu kuelewa
Huu mjadala ungelifanyika hata bila kutaja hayo majina ya Einstein na Tesla

The key point sio nani ni zaidi?

Hoja ya msingi ni uhalali wa kauli inayosema "Hakuna maada inayoweza kusafiri kwa kasi sawasawa au kuliko mwanga
Mkuu hiyo kitu ya nothing can travel faster than light nafikiri nilishaitupia hapo juu. Mpaka sasa hivi,hakuna experiment yoyote ambayo imeweza ku prove kuwa anything can go faster than speed of light. The last experiment was done by CERN in large hedron collider to detect speed of neutrino in 2011 I think. Results was the same as predictaed by Einstein,kama ni mtu wa physics unaweza kuingia arXiv.org e-Print archive angalia,lakini usipeleke physics yako ya form six tafadhali,kuna nondo za kushiba huko.
Sasa kwa kuwa science is evidence based,siwezi kuamini au kumuelewa mtu anayeniambia kitu bila kuwa na facts. Kama unasema kuna kitu kin travel faster than speed of light basi weka experimental link ili tuone results.
 
Tupo kambi moja mkuu!

Ila nilikuwa natoa angalizo kuhusu kiini cha mada kwa wadau

Maana wabongo kama kawaida yao walishaanza kutengeneza team

Team tesla,team Einstein
 
Nikola Tesla anashindanishwa na Thomas Edison na wakina Marconi...
Huyu Einstein amekuwepo wakati wakina Tesla wameshamuwekea vianzia vingi tu.
Wakati Tesla ni babu huyu Einstein alikuwa kijana mdogo tu...
Vianzia vipi Tesla alimuekea Einstein nipe shule apo
 
Back
Top Bottom