Nikola Tesla vs Albert Einstein: The Ether & the Birth of the New Physics

Daaa mkuu uko mbali usisimuliwe ....every great man including Einstein walisha stand katika shoulders za magiants wao....niambie nikuambie ni nini Einstein amepredict from the scratch? Kama hajaongeza herufi moja tu kwenye F=ma ya Newton katika kuunda Relativity yake?
 
Hapo tupo pamoja kabisa. Hilo nalifahamu kabisaa ndo nilichosema kuanzia mwanzo. You have to have somewhere to start. Ila kwa hiyo F=ma kwamba Einstein aliitumia si kweli,kwa kuwa relativity si formula moja au concept moja.Special theory na general theory. Special theory ni rahisi kuielewa lakini general theory si rahisi hata kidogo.
Hapa kama nilivyosema kitambo ni watu wawili tofauti kabisaa,kila mmoja alikuwa anafahamu anachofanya kwenye eneo lake.Mmoja inventor--Tesla,mwingine physicist--Einstein.
Ndo maana huwezi ona hata kitu kimoja ambacho Einstein ametengeneza (Ingawa ana patent ya Fridge) na kwa upande mwingine sidhani kama una hata formula moja ya physics ambayo ameandika Tesla.
 
Right...but in little , Tesla baada ya kufukuzwa chuo kabla hajaitwa kufnya kazi US alisnzisha vibanda vya tution akifundisha fizikia kwa level zote and thus why mda mwingine anaitwa Physicist or futurist..he know physics but not to the extent of Einstein....and thus why he developed Tesla Dynamic theory of gravty....
 
Ila kiboko ya hawa kina Tesla na Einstein ni Newton ,Galileo na Faraday.
Kwa kuangalia nani kasimama katika shoulders za nani bas legends waheshmiwe....ila watu wanabreak laws za magiants
 
Mkuu naomba nikukosoe kidogo. Tesla na Einstein walikuwepo wakati mmoja
Tesla July 10, 1856----January 7, 1943
Einstein March 14, 1879----April 18, 1955
Pili hebu niambie theory hata moja ya Tesla ambayo Einstein ametumia kama foundation yake.
Nimekupata chief,
Ingawa Tesla alianza innovation kitambo zaidi. Yaani wakati Einstein anaingia first year huyu mbabe alikuwa ameshavumbua mengi, na barua Einstein aliyomwandikia kwenye birthday yake ya 75 alitambua mchango wa Tesla katika technological development. Hajatumia theory yoyote ila angalau sidhani kama alikwepa madhara ya ac na electromagnetic inventions za tesla.
Ila wote ni wakali sana tu mkuu...
 
Hachen kumfananisha tesla na einstein,science ya tesla hiko juuu mbaya hadi thomas edison alikuwa anaona wivu..the guy died poor lakini alikuwa na vitu vya hatarii ndo mtu wa kwnz kutengeneza HEP pale niagra,earthquake machine inayoestablish artificial earthquAke,science yake ilikuwa way too far kipindi kile hadi sasa ....patents zake ziko reserved kwa sababu others zilikuwa very dangerous to humankind,mtu alikuwa ana uwezo wa kuangusha ndege 350 miles from him...hebu tumsome tesla vizurii...even einstein alikuwa anamkubalii jembe tesla..hyo scalar waves ndo kabisa even scientists wanaikataa hadi leo....
 
Nakubali part of it.Nilisoma hiyo Tesla dynamic theory of gravity just for hobie because it has no academic value to me at least at this point. Ni vigumu kuongelea kitu ambacho hakijakamilika kama hiyo dynamic theory of gravity.
Tupo pamoja mkuu wangu
 
hakuna mtu aliyekuwa anamlinganisha Tesla na Einstein hapa pengine hujaisoma hii mada vizuri au umekomenti kabla ya kusoma
 
Einstein uyahudi unambeba sana ila kwa Nicola Tesla yuko kazidiwa.
wayahudi kwa propaganda noma sana
 
Hakuna kama Tesla,usisahau pia alikuwa na knowledge isiyo ya kibinadamu baada ya kuona kwamba alikuwa close kufanikisha wireless eletricity kina Jp Morgan wakaamua kumpoteza ila inasemekana alikuwa na uwezo wa ki alliens beyond ubinadamu kabisa
wayahudi wanampaisha sana einstein-ingawa alikuwa safi upstairs lakn Nicola ni zaidi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…