wanasema kuwa DNA za magenius wakubwa dunia kama Sir newton, Leonardo da vinc na huyu Tesla azima match kwa asilimia 100 na wazazi wao, hasa kwa upande wa baba
kwa maana hiyo basi wanadai kwamba"aliens" walipandikiza mbegu kwa hawa watu ambao sisi tunawaita magenius na scientists na walipandikiza mbegu izo kutengeneza mahusioano flani kati yao na sisi, na hayo mausiano yanakuja kwa invetions mbalimbali za hawa magenius wetu kama makorokoro aliyoyafanya Tesla na Newton.
kwasababu hiyo hapo juu ndio kusema Tesla hakuwa binadamu wakawaida alikuwa na genes za u elien kwa kiasi flani.