Nikopeshe 140K nirudishe 230 Ndani ya wiki mbili

Tukiwaambia mkope Tala,mnaletaga dharau na kujifanya mnawadhulumu..hao jamaa wanasaidia sana kwenye shida za ghafla kama hizi.
 
Umepata hiyo hela . Nakupa bila shida niandikie vizuri mikakati yako jinsi utavyoitumia na jinsi utavyoirudisha.
 
Hivoo hagusii kabisa!...Ni masalantapa tu ndo anaweka kama collateral [emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nilishaweka rehani vyeti vya shule kuanzia la 7 mpaka chuo kikuu ili nipate ajira, washeynz wale wanataka hati ya nyumba..
Dah, kazi nyingine bwana
Mpaka wa leo sina kazi wala.ajira... Dah, hali ni tete ndo maana.nikamwambia huyo.aweke kitu nyeti sana
Cc monto wa weto Molembe na abhakoli bhaansi bhano bhani mno
 
Duh,140 kwa 230 hii ni hatari,yaani hadi mkopeshaji mwenyewe utaingiwa na aibu na kushusha hiyo riba kwa hiari...
 
tafuta wenzio kama wewe 39 muwe jumla 40 halafu nitawakopesha kwa terms hizi.
 
Kwa watumiaji wa TemplerFx Tuma email hii sasa bila kuchelewa"tuma email kwenda support@templerfx.com,andika ivi please make my account under the agent 123796 my account no is andika no yako ya account ya mt4 bila password.Spread the Love. kwa maelekezo zaidi nicheck +255767913761(whatsapp only)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…