Mke/keWakuu heshima kwenu
Shida haina mwenyewe,naomba kama kuna mdau ambaye anaweza kunikopesha hicho kiasi nilichokitaja hapo juu na kwa riba hiyo anisaidie nimalize shida yangu
Kuhusu kitu cha kuweka bondi naweza nisiwe nacho cha maana kwa sasa ila tutaongea zaidi jinsi tutakavyofanya.
Location-Dar es salaam
Lake moja na arubaini au ??Wakuu heshima kwenu
Shida haina mwenyewe,naomba kama kuna mdau ambaye anaweza kunikopesha hicho kiasi nilichokitaja hapo juu na kwa riba hiyo anisaidie nimalize shida yangu
Kuhusu kitu cha kuweka bondi naweza nisiwe nacho cha maana kwa sasa ila tutaongea zaidi jinsi tutakavyofanya.
Location-Dar es salaam
Ndio mkuuLake moja na arubaini au ??
Mkuu kwa hali niliyonayo kwa sasa dhamana kama dhamana sina,ila naweza kuacha confidential zangu..
Kwanini usisubiri hio wiki ukapata zote hizoWakuu heshima kwenu
Shida haina mwenyewe,naomba kama kuna mdau ambaye anaweza kunikopesha hicho kiasi nilichokitaja hapo juu na kwa riba hiyo anisaidie nimalize shida yangu
Kuhusu kitu cha kuweka bondi naweza nisiwe nacho cha maana kwa sasa ila tutaongea zaidi jinsi tutakavyofanya..
Location-Dar es salaam
Hukawii kusema umekabwa ukatusakaziaMkuu kwa hali niliyonayo kwa sasa dhamana kama dhamana sina,ila naweza kuacha confidential zangu..
Chunga sana kauli zako ukiwa bado hai.Ila wanaume wa Dar ni majanga sana....hivi wanawake wa Dar mna kazi sana kuishi na hawa wanaume wasiofanya kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kirahisi hivyo huwa wanaanza kidogo kidogo mpaka mkopo unaongezeka
Kuna watu wanajisahau sana!Chunga sana kauli zako ukiwa bado hai.
Kweli. Kama huwezi kusaidia mtu bora ukae kimya tu. Kejeli hazina faida yoyote.
Kuwa na shida na kuwa na kazi ni vitu viwili tofauti | shida anaipata aliye na kazi na asiye na kazi.Ila wanaume wa Dar ni majanga sana....hivi wanawake wa Dar mna kazi sana kuishi na hawa wanaume wasiofanya kazi
Sent using Jamii Forums mobile app