Nikopeshe 140k nirudishe 230k ndani ya week mbili

Freygod

Member
Joined
Mar 13, 2019
Posts
15
Reaction score
10
Wakuu heshima kwenu

Shida haina mwenyewe,naomba kama kuna mdau ambaye anaweza kunikopesha hicho kiasi nilichokitaja hapo juu na kwa riba hiyo anisaidie nimalize shida yangu

Kuhusu kitu cha kuweka bondi naweza nisiwe nacho cha maana kwa sasa ila tutaongea zaidi jinsi tutakavyofanya..

Nitaacha simu tecno W1,pasi,nhif card,birth cert,leaving cert

Location-Dar es salaam
 
Wakuu heshima kwenu

Shida haina mwenyewe,naomba kama kuna mdau ambaye anaweza kunikopesha hicho kiasi nilichokitaja hapo juu na kwa riba hiyo anisaidie nimalize shida yangu

Kuhusu kitu cha kuweka bondi naweza nisiwe nacho cha maana kwa sasa ila tutaongea zaidi jinsi tutakavyofanya.

Location-Dar es salaam
Mke/ke
Dhamana nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lake moja na arubaini au ??
 
Wakuu heshima kwenu

Shida haina mwenyewe,naomba kama kuna mdau ambaye anaweza kunikopesha hicho kiasi nilichokitaja hapo juu na kwa riba hiyo anisaidie nimalize shida yangu

Kuhusu kitu cha kuweka bondi naweza nisiwe nacho cha maana kwa sasa ila tutaongea zaidi jinsi tutakavyofanya..

Location-Dar es salaam
Kwanini usisubiri hio wiki ukapata zote hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu bado nahitaji msaada wenu,kwa condition ambayo nimeielezea tayari
 
Back
Top Bottom