Nikopeshe au naomba hela ya kunisaidia jioni hii nimekwama ndugu zangu

Visacard

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2017
Posts
233
Reaction score
218
Sijawahi kunyooka kama leo wakuu. Hali yangu si nzuri kabisa yaani nimeishiwa vibaya mno. Hapa nilipo sina hata senti mambo yameniendea kombo
Kila kitu kimeisha hapa wakuu

Naombeni mnisaidie hata mnikopeshe elfu 5 tu inisaidie japo leo maana sijui naishije wakuu. Nimekopa kwa marafiki zangu mpaka naona aibu
Nilikua na hela kama laki 8 hivi nyumbani ndo nilipewa hiyo na mzazi ya kutumia home mambo sio mabaya lakini nikishapewa hizo ni hadi iishe miezi 3 ndo naweza pewa tena hapo natumiwa na ya ada sasa nimetapeliwa zote nimechanganyikiwa na home hawatonielewa
Naombeni mnisaidie ndugu zangu. Nipo serious ukiona nimekuja kuomba humu ujue limenifika ndugu zangu

Update:
Nashukuru sana kajitokeza mtu kanisaidia mungu ambariki sana
Nashukuruni nyote mlionitia moyo mungu awabariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…