Nikopeshe au naomba hela ya kunisaidia jioni hii nimekwama ndugu zangu

Nikopeshe au naomba hela ya kunisaidia jioni hii nimekwama ndugu zangu

[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kashatupia mkeka kwenye jukwaa tayari
We jamaa mkuda kinoma asee, una mambo ya kimanzi

Unaweza kukuta mtu anashida kweli alafu wewe unaleta mambo ya kike, mbona huo uzi nipo na hajapost chochote?

Kwanza unaitwa Raphael au Raphaela? Achaga uwaki kama mtu ana shida acha asaidiwe sio kuweka uzibe.

Unawivu wa kike
 
We jamaa mkuda kinoma asee, una mambo ya kimanzi

Unaweza kukuta mtu anashida kweli alafu wewe inaleta mambo ya kike, mbona huo uzi nipo na hajapost chochote?

Kwanza unaitwa Raphael au Raphaela? Achaga uwaki kama mtu ana shida acha asaidiwe sio kuweka uzibe.

Unawivu wa kike
Tatizo lako unadhani kila mtu ana Fistula kama ulivyo, jitibu kwanza ndipo uje hapa na uke wako huo, Unataka kupanga kila mmoja aishi humu unavyotaka!!

Jitibu usijeukatuambukiza Kichocho na Gonorrhea yako hiyo.
 
Asijawah kuja humu hata siku moja nikaomba hela za kubet wala sijawahi kubet toka nizaliwe na wala sitokaa nifanye hivyo
Wewe uliyesema mimi nimeomba pesa za kubet mungu atakulipa hapahapa duniani
ungejaribu kupost uzi wako jukwaa jengine mkuu hasa wale wazee wa mikeka ungeenda kuwaomba watakusaidia shida yako

Ccm oyeeeeee......Oyeeeeeeeëee
 
Haaaaa Huyu jamaa yupo kwenye jukwaa lile la kubet aliomba kule wakakataa amekuja huku!!!!
daah lini nishawah kuja kwenye jukwaa la kubet? Weka evidence hapa
Sijawah kubet wala sijawah kuja hapa kuomba hela ya kubet hata siku moja
naomba sana usinizushie uongo wa kunichafua
Ila malipo ni hapahapa duniani
 
Kwahiyo anaomba za kubet huh!!
Maana kubet nako ni uraibu tu kama wa madawa ya kulevya. Yale yalee ya raimundo.
nitakua nina kichaa nije niombe pesa ya kubet
aweke tu post au mahali popote nishawah omba pesa ya kubet
siwez kufanya hivyo maisha
mungu ni shuhuda wangu
 
We jamaa mkuda kinoma asee, una mambo ya kimanzi

Unaweza kukuta mtu anashida kweli alafu wewe unaleta mambo ya kike, mbona huo uzi nipo na hajapost chochote?

Kwanza unaitwa Raphael au Raphaela? Achaga uwaki kama mtu ana shida acha asaidiwe sio kuweka uzibe.

Unawivu wa kike
huyo jamaa amenizushia sana mungu atamlipa hapa hapa duniani daah
 
Back
Top Bottom