Nikopeshe au naomba hela ya kunisaidia jioni hii nimekwama ndugu zangu

Weka namba nitakutumia kwa staili ninayoijua maana kuna

makachero humu
 
Hahaaaa! Na unakuta anamiliki simu ghali tu.
[emoji2] [emoji2] yaani alikua yatima anataka msaada wa kimasomo!sasa siku hyo kaenda anakoishi dogo kamkuta ana bonge simu
Akamuuliza km simu yake akakubali bas ikawa msala!
 
[emoji2] [emoji2] yaani alikua yatima anataka msaada wa kimasomo!sasa siku hyo kaenda anakoishi dogo kamkuta ana bonge simu
Akamuuliza km simu yake akakubali bas ikawa msala!
Hahahaaa! Akapata kisingizio.
 
Una dada?au demu wako,?nipe namba zao,hakuna cha bure,nakupa hyo hela ila nawee nipe hzo namba,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…