Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kashatupia mkeka kwenye jukwaa tayariEti jomoni ni hela ya kula au ya mkeka?
😀😀😀😀😀[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kashatupia mkeka kwenye jukwaa tayari
We jamaa mkuda kinoma asee, una mambo ya kimanzi[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kashatupia mkeka kwenye jukwaa tayari
Tatizo lako unadhani kila mtu ana Fistula kama ulivyo, jitibu kwanza ndipo uje hapa na uke wako huo, Unataka kupanga kila mmoja aishi humu unavyotaka!!We jamaa mkuda kinoma asee, una mambo ya kimanzi
Unaweza kukuta mtu anashida kweli alafu wewe inaleta mambo ya kike, mbona huo uzi nipo na hajapost chochote?
Kwanza unaitwa Raphael au Raphaela? Achaga uwaki kama mtu ana shida acha asaidiwe sio kuweka uzibe.
Unawivu wa kike
sijawah kubet toka nizaliwe na wala sijawah kuomba pesa ya kubet ila ole wake aliyenishuhudia uongo malipo ni hapahapa dunianiKwahiyo anaomba za kubet huh!!
Maana kubet nako ni uraibu tu kama wa madawa ya kulevya. Yale yalee ya raimundo.
namuongeza laki 1 ziwe laki 3Pole sana Mkuu chukua Laki mbili.
Mwanaume Unaomba 5000 Hapa Mjini,kweli Unatuabisha Wanaume Wa Dar
ungejaribu kupost uzi wako jukwaa jengine mkuu hasa wale wazee wa mikeka ungeenda kuwaomba watakusaidia shida yakoAsijawah kuja humu hata siku moja nikaomba hela za kubet wala sijawahi kubet toka nizaliwe na wala sitokaa nifanye hivyo
Wewe uliyesema mimi nimeomba pesa za kubet mungu atakulipa hapahapa duniani
daah lini nishawah kuja kwenye jukwaa la kubet? Weka evidence hapaHaaaaa Huyu jamaa yupo kwenye jukwaa lile la kubet aliomba kule wakakataa amekuja huku!!!!
nitakua nina kichaa nije niombe pesa ya kubetKwahiyo anaomba za kubet huh!!
Maana kubet nako ni uraibu tu kama wa madawa ya kulevya. Yale yalee ya raimundo.
huyo jamaa amenizushia sana mungu atamlipa hapa hapa duniani daahWe jamaa mkuda kinoma asee, una mambo ya kimanzi
Unaweza kukuta mtu anashida kweli alafu wewe unaleta mambo ya kike, mbona huo uzi nipo na hajapost chochote?
Kwanza unaitwa Raphael au Raphaela? Achaga uwaki kama mtu ana shida acha asaidiwe sio kuweka uzibe.
Unawivu wa kike