Nikopeshe au naomba hela ya kunisaidia jioni hii nimekwama ndugu zangu

Nikopeshe au naomba hela ya kunisaidia jioni hii nimekwama ndugu zangu

Pole sana mkuu, ila unavyopambana na hali yako angalia usitingishe hali yangu.
 
Hivi hapa member si tuko laki 2,
kila mtu akijichanga 1000 tu,
tunamtoa huyu kijana na milioni 200,
akaanzishe kiwanda huko awape na ajira wengine,
au mnaonaje wakuu?,
ngoja niweke namba mtupiemo elfu tu tumtoe huyu kijana
 
Eti jomoni ni hela ya kula au ya mkeka?
huo mkeka toka nizaliwe sijui hata unachezwaje muache akae tu daah kuna watu wana roho mbaya sana hata sijawah kupost kuhusu mambo ya kubet ila jamaa kaamua tu kunizushia hamna shida lakin
only god can save me
 
"Kuishiwa ni sehemu ya mtu yeyote aliye hai, asiyeomba msaada ni marehemu" Kagera sugar speech quote. Asante kwa aliekusaidia, Mungu ambariki.
hela nyingi hivyo hapana aisee mkuu
 
Back
Top Bottom