Nikubali niwe wako mwaminifu.

Nikubali niwe wako mwaminifu.

kokudo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
2,571
Reaction score
1,760
Nikubali niwe rafiki mwema kwako kwenye Shida&Raha,Maradhi&Uzima,NJaa&Shibe.mimi ni kijana wa kiume umri 27yrs.nitafute kwa number 0759 283 740.Mm ni mjasilia mali
 
Nikubali niwe rafiki mwema kwako kwenye Shida&Raha,Maradhi&Uzima,NJaa&Shibe.mimi ni kijana wa kiume umri 27yrs.nitafute kwa number 0759 283 740.Mm ni mjasilia mali
Du kila la kheri mkuu!
 
Kijana nenda kwanza ukachukue kozi fupi ya usanii kwenye chuo cha sanaa Bagamoyo ili uweze kukabiliana na hali halisi ya usanii katika mapenzi ya zama hizi.
 
UNA SHAMBA??? maana wa kukubali kwenye njaa na shibe yataka awe chaguo kutoka kwa mungu,vinginevyo uwe na shamba.
 
27 bado sana kaza buti mpaka 30 ndo utafute huyo wa shida na raha nk
 
mmmh kaka tuwekee vyeti vyako vya afya pamoja na akili!sorry usinielewe vby naweza kupata appetite!:redfaces:
 
Back
Top Bottom