Nikumbusheni Cartoon hii iliyokuwa inaoneshwa ITV miaka ya 2000

Nikumbusheni Cartoon hii iliyokuwa inaoneshwa ITV miaka ya 2000

Dah Miaka bado tupo na taa ya chemli nayo chemli huifuta mama peke yake na baba , koroboi ya kumulikia na kusomea, jiko la stove , picha zenye nega, chandimu kipo 🔥, sh 50 vicholi 10, kunyoa ni mkasi nk.........Tv niionee wapi Mimi....? 🙌
Ushobokee kuifuta chemli alafu upasue yai... aiseee acha tu sitasahau
 
Dah! We jamaa uminikumbusha mbaaaaali et ilikua inaitwa MOON SCOOP....
Daaah!!... Nmeipata aiseeh ndio hii Jina lake... Big up sana Bro [emoji120][emoji120][emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji92][emoji92][emoji92][emoji92]
 
Back
Top Bottom