variance:c^2 ((Efu^2)/N +(Efu)^2/N) where c=class size, f= frequency u=d/c standard deviation: c((Efu^2)/N+(Efu)^2/N)^0.5
Uko sahihi kabisa Ndugu mathx,umejichanganya kidogo tu,kwenye /f baadala ya /N.
ndio kashakosea hivyo.
Uko sahihi kabisa Ndugu mathx,umejichanganya kidogo tu,kwenye /f baadala ya /N.
Ni kweli alama ya hapo ni kutoa badala ya kujumlisha, pamoja kakaSaluti nyingi baba,itakatikiamo.Nimekuelewa vizuri.
Unaamanisha
Variance=C^2[sum of f(u^2)+sum of (fu)^2]/N.
S.D=C[[sum of f(u^2)+sum of (fu)^2]/N]^0.5
Halafu,kwenye hizo formula za variance na S.D,hiyo operation ya kujumlisha siyo kutoa hapo?,japo ni kitambo sana!
Saluti nyingi
Daaah!!! Aisee mmu kuna rahaaa!! Ngoja niwahi kule maana hapa sipati kituvariance:c^2 ((Efu^2)/N +(Efu)^2/N) where c=class size, f= frequency u=d/c standard deviation: c((Efu^2)/N+(Efu)^2/N)^0.5
We' mbona unashoboka sana?,huku hapakuhusu,comments zako hazihitajiki huku.
Sioni cha maana ulichochangia.