Nikumbusheni CODING METHOD for finding MEAN and STANDARD DEVIATION in Mathematics

Nikumbusheni CODING METHOD for finding MEAN and STANDARD DEVIATION in Mathematics

variance:c^2 ((Efu^2)/N +(Efu)^2/N) where c=class size, f= frequency u=d/c standard deviation: c((Efu^2)/N+(Efu)^2/N)^0.5

Saluti nyingi baba,itakatikiamo.Nimekuelewa vizuri.
Unaamanisha
Variance=C^2[sum of f(u^2)+sum of (fu)^2]/N.
S.D=C[[sum of f(u^2)+sum of (fu)^2]/N]^0.5
Halafu,kwenye hizo formula za variance na S.D,hiyo operation ya kujumlisha siyo kutoa hapo?,japo ni kitambo sana!
Saluti nyingi
 
Hesabu ni janga la Taifa, huu uzi utakuwa very unpopular maana wengi mtatuacha humu.
 
Hamuwezi hata kujisomea kweli? Unashindwa kufanya hw unaleta humu? Jf watakuwepo kwenye mtihani wako?

Sina mtihani wowote,MATHS kwangu ni HOBBY.
 
kumbe njia unaiju, sasa ulikuwa unauliza nn km sio umbea!

We' mbona unashoboka sana?,huku hapakuhusu,comments zako hazihitajiki huku.
Sioni cha maana ulichochangia.
 
ndio kashakosea hivyo.

Wengi wanakosea bila kujijua,mbaya zaidi ktk mtihani.
Kinachosababisha wakosee ni:
-Wanaandika makosa wanachokifikiria
-Wanaandika makosa wanachokiongea/wanachokitamka.
-Wanaandika makosa namba waliyoishika/iliyobaki.
 
Saluti nyingi baba,itakatikiamo.Nimekuelewa vizuri.
Unaamanisha
Variance=C^2[sum of f(u^2)+sum of (fu)^2]/N.
S.D=C[[sum of f(u^2)+sum of (fu)^2]/N]^0.5
Halafu,kwenye hizo formula za variance na S.D,hiyo operation ya kujumlisha siyo kutoa hapo?,japo ni kitambo sana!
Saluti nyingi
Ni kweli alama ya hapo ni kutoa badala ya kujumlisha, pamoja kaka
 
variance:c^2 ((Efu^2)/N +(Efu)^2/N) where c=class size, f= frequency u=d/c standard deviation: c((Efu^2)/N+(Efu)^2/N)^0.5
Daaah!!! Aisee mmu kuna rahaaa!! Ngoja niwahi kule maana hapa sipati kitu
 
Back
Top Bottom