Nikumbusheni CODING METHOD for finding MEAN and STANDARD DEVIATION in Mathematics

Nikumbusheni CODING METHOD for finding MEAN and STANDARD DEVIATION in Mathematics

Kibishi

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
1,139
Reaction score
1,031
Kama kichwa cha habari kinavyoonyesha.
Nisaidieni ile formula inayoitwa CODING METHOD iliyopo katika topic ya STATISTICS inayotumika kutafuta MEAN,STANDARD DEVIATION na VARIANCE
Natanguliza shukrani.
 
Si' kuna walimu na wanahisabati humu?,mbona kimya?
 
Variance, take each different of the frq from the mean (normally the centre) then square it and plus those differents, the answer you get devide by N (total number of frq)
 
mean=A+fd/N

where by:
A=Assume/coding mean
f=frequency
d=x-A(deviation)
N=total frequencies
 
MEAN: A+(CEFU)/N Where A=assumed mean C=class size E=summatio(sigma notation F=frequency N=Total frequencies/numbers U= (d/c) where d=deviation and c=class size
 
variance:c^2 ((Efu^2)/N -(Efu)^2/N) where c=class size, f= frequency u=d/c standard deviation: c((Efu^2)/N-(Efu)^2/N)^0.5
 
mbona ya fani yangu huwa hamuulizi au mnayajua sana??
 
Hamuwezi hata kujisomea kweli? Unashindwa kufanya hw unaleta humu? Jf watakuwepo kwenye mtihani wako?
 
Hamuwezi hata kujisomea kweli? Unashindwa kufanya hw unaleta humu? Jf watakuwepo kwenye mtihani wako?

Kujisomea tumeshajisomea sana.Tunakumbuka vitu vingi,tumesahau vitu vichache,vichache hivi visipoonekana google,au google kukiwa na mawenge wataalam JFwapo wa kuwauliza.
Kuhusu kwenda LIBRARY tumeshaenda sana,na ndiyo inayotufanya tukumbuke vitu vingi.
Kumbuka ya kwamba google ni library mojawapo.
 
Variance, take each different of the frq from the mean (normally the centre) then square it and plus those differents, the answer you get devide by N (total number of frq)

Hiyo ni njia ya O-level ya kawaida,na wala siyo coding method.
 
mean=A+fd/N

where by:
A=Assume/coding mean
f=frequency
d=x-A(deviation)
N=total frequencies

Hiyo njia siyo coding,ni ya kawaida tu ya assumed mean method.
 
MEAN: A+(CEFU)/N Where A=assumed mean C=class size E=summatio(sigma notation F=frequency N=Total frequencies/numbers U= (d/c) where d=deviation and c=class size

Shukrani sana Ndugu itakatikiamo,iko hivyo hivyo.Sasa nimekusoma.Unamaanisha
Mean=A+C(sum of fU)/N.
 
Kama kichwa cha habari kinavyoonyesha.
Nisaidieni ile formula inayoitwa CODING METHOD iliyopo katika topic ya STATISTICS inayotumika kutafuta MEAN,STANDARD DEVIATION na VARIANCE
Natanguliza shukrani.

google
 
Back
Top Bottom