Nikumbusheni link ya uzi unaoelezea ndege ilodondoka uwanja wa taifa wakifanya maonesho

Nikumbusheni link ya uzi unaoelezea ndege ilodondoka uwanja wa taifa wakifanya maonesho

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,414
Reaction score
2,181
Habari wakuu,

Kuna uzi kila niki-earch siuoni, ulilezea miaka ya 70 na 80 kulkikuwa na ndege ya kijeshi ikifanya mazoezi uwanja wa taifa Dar. Ikamshinda rubani na kuelekea kuanguka. Rubani kwa kuona umati wa watu uliopo wangekufa wengi, akajitahidi kwenda kuidondosha nje ya uwanja, akafa yeye na msaidizi wake. Naomba link hiyo.
 
Ilikuwa maonesho sikumbuki ya nini ila kipindi Cha mwalimu Nyerere maeneo kwa Sasa ni uwanja wa taifa.
Wakati rubani akionesha manjonjo ikashindikana na kudondoka mbali kidogo.

Ila kipindi hiko maeneo ya wazi yalikuwa mengi na sehemu hiyo ilikuwa na eneo la jeshi.
Ubungo yenyewe imeanza miaka 99 kukuwa.

Jiulize hiyo miaka 70-80 kule taifa SI nyumba za kuachana masaa zaidi ya mawili.
 
Ule uzi uliunganishwa ukawa kama comment ulikua ni uzi wa kwenye sherehe za Uhuru
 
Rubani kwa kuona umati wa watu uliopo wangekufa wengi, akajitahidi kwenda kuidondosha nje ya uwanja, akafa yeye na msaidizi wake. ..........
 
Rubani aliitwa kama sikosei Said Karama
 
Aisee! Huyo rubani anastahili kukumbukwa miongoni mwa mashujaa!
 
Ilikuwa jumatatu ya septemba mosi 1980
 
 
Back
Top Bottom