NIKWANINI MTU AKINYWEA KIKOMBE CHA MGONJWA WA MALARIA NAE ANAPATA MALARIA?

NIKWANINI MTU AKINYWEA KIKOMBE CHA MGONJWA WA MALARIA NAE ANAPATA MALARIA?

msigazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2017
Posts
467
Reaction score
349
Habari wakuu
Naomba kujuzwa nikwanini mgojwa wa malaria akitumia kikombe
Halafu akaja mtu ambaye haumwi akakitumia anapatwa na ugonjwa wa malaria?

Wakati wataalamu wa tiba hudai kuwa malaria huambukizwa na mbu jike Tena usiku wa manane!

Naomba kupata ufafanuzi wa suala hili

Natanguliza shukurani
download.jpeg
 
Ugonjwa wa malaria ni ugonjwa unaoambukizwa kupitia kung'atwa na mbu jike aina ya anopheles

Na si vinginevyo .

Mara chache mno ambapo mtoto aliyetumboni anaweza kupata narudia tena ni Mara chache sana na ni negligible
 
Inamaana malaria siku hizi yaambukizwa kwa mate?
Kuna baba mmoja aliniambia kuwa hkinywea KIKOMBE au kusogeleana na mgonjwa wa malaria
Tayari umenaswa
Utaanza kupiga chafya na mwili kuanza kudhoofika
Ujue tayari umeikwaa malaria
 
Ugonjwa wa malaria ni ugonjwa unaoambukizwa kupitia kung'atwa na mbu jike aina ya anopheles

Na si vinginevyo .

Mara chache mno ambapo mtoto aliyetumboni anaweza kupata narudia tena ni Mara chache sana na ni negligible
[emoji115][emoji115][emoji115]hapo juu umejibiwa kwa lugha rahisi ambayo inaeleweka mkuu.
Malaria haiambukizwi kwa njia hiyo.
Kuna baba mmoja aliniambia kuwa hkinywea KIKOMBE au kusogeleana na mgonjwa wa malaria
Tayari umenaswa
Utaanza kupiga chafya na mwili kuanza kudhoofika
Ujue tayari umeikwaa malaria
 
Hongera sana kwa ugunduzi wako! nafikiri labda kuna mabadiliko ktk njia za kuambukiza malaria au aina mpya ya mbu wa malaria ushauri wangu kabla ujaileta hoja hapa endelea kufanya utafiti halafu washirikishe wataalamu wa Afya .Si utani unaweza kuingia kwenye vitabu vya wanasayansi kimchezo mchezo km yule dogo wa Iringa kipindi hicho aliye gundua kuwa maji ya moto yanawahi kuganda zaidi ya maji yenye joto la chumba yakiweka pamoja kwenye jokofu ! Komaa kama post yako si jokings.
 
Habari wakuu
Naomba kujuzwa nikwanini mgojwa wa malaria akitumia kikombe
Halafu akaja mtu ambaye haumwi akakitumia anapatwa na ugonjwa wa malaria?

Wakati wataalamu wa tiba hudai kuwa malaria huambukizwa na mbu jike Tena usiku wa manane!

Naomba kupata ufafanuzi wa suala hili

Natanguliza shukurani
View attachment 755507
Hata darasa la 4 hawezi andika huu utumbo nenda kasome majarida uelewe siyo kila kitu ni kuambiwa.
 
Back
Top Bottom